Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,311
- 11,651
Lini makao makuu ya nchi yaliwahi kuwa tofauti na Dodoma?Na makao makuu ya nchi tunahamishia dodoma yaani nikitoka mwanza na mifugo yangu mwisho dodoma tuone nyama na viazi vya chips nani atawauzia mpaka mtie adabu muendeshe matrekta muanzishe kilimo
Ndo uelewa wako mporipori 7bu umesoma shule ya kijijinsanzu usitake nicheke bure makao makuu dodoma halafu serikali yote iko dar hayo ni makao makuu ya nchi au kijiji? Halafu sasa hivi ndio wanasema serikali ihamie dodoma
Karibuni Mabibo BeachBitoz nyangeama uko wapi niko huku pugu naenjoy na dada zako halafu kesho narudi zangu rock city jiji la wanaume
Kwani siyo chakula....kimeandikwa jinsia?View attachment 375501View attachment 375501hivi kweli mwanamme aliyekamilika unaweza kula hii kitu[emoji125]
Sawa tunakubali wanawake wa dar warembo tena sio wazuri maana ukitoa izo nywere bandia,kucha bandia,makeup , chuchu za jeki na makalio ya kununua kwisha habari !! Mikoani natural bwana !! Shida ya wanaume wa dar hawatofautiani sana na Dada zao
Wacheki Joto City girlz
Mabushstar endeleeni kukaa maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
Bishoo la Joto City
The Bitoz
Na nyie waporipori hamrofautiana sana na mifugo yenu kuanzia tabia hadi akili km ng'ombeSawa tunakubali wanawake wa dar warembo tena sio wazuri maana ukitoa izo nywere bandia,kucha bandia,makeup , chuchu za jeki na makalio ya kununua kwisha habari !! Mikoani natural bwana !! Shida ya wanaume wa dar hawatofautiani sana na Dada zao