Bitoz nyangema siwezi kukimbia nilikuwa bize nakusanya mifugo si nilikuambia 2 naingia hapo dsalaam nataka nikuletee sato na kuku wa kienyeji vipi tukutane wapi mtani?

Natokea rock city mtaa mmoja unaitwa mwananchi mifugo huwa naikusanya kutoka magu kwimba misungwi sengerema ndio niwaletee wavulana wa dslaam hata kazi hamtaki mnataka kulelewa tu marioo