Mwanamke utafuaje pichu kwenye washing machine?

Mwanamke utafuaje pichu kwenye washing machine?

Kwahiyo kwenye machine unachangaya za kwako, za mume wako na za watoto?

Wa kwangu wakifikisha miaka saba lazima wafue pichu zao wenyewe kwa mikono, kama tuko safarini ninazihifadhi kwenye mfuko wa plastic, wakirudi nyumbani wanaanza.

kama umewai kufua kwa mashine utaelewa.. jinsi ufuaji ulivyo.. ni maamuzi yako kama unachanganya au huchanganyi.. hata kwenye beseni unaweza zichanganya vile vile na ukafua kwa mkono.

kama sabab ni hiyo ungesema mwanamke anaefua pichu kwa mashine asichanganye na za mumewe na watoto.. ungeeleweka
 
Heheh African women misimamo yenu mda mwingine hahaha
 
Mmmmh hiyo ya kuto-kufua ukweni sijaelewa.Hufui kwasabu ni tabia mbaya,aibu,hakuna nafasi au hutaki wajue unavaa????
Si ufue then unafunika na khanga na kubana juu??? Unaweza kuziweka chafu wiki mzima???Huo si uchafu mwingine jamani.....
 
Nmekosea uz

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
View attachment 1080954
View attachment 1080957
Mtoto wa kike wewe, pichu unafua kwenye washing machine, huna haya? Zile safari zako za mwezi pia utarun washing machine kila siku? Pichu ifue kwa mikono, uanike sehemu itakayo pata jua na hewa. Pichu nzuri ni za cotton. Kuna wale wenye pichu rangi kwa kusafiria lakini za kila siku ni nyeupe. Hata pichu za cream pia huwa zinapendeza.
Kwa wale mnaoishi kwenye vyumba vya kupanga, si vibaya kuweka khanga juu baada ya kuanika pichu kwenye kamba. Mtoto wa kike kuloweka pichu mmh, hiyo mikono ina kazi gani? kuna wale wasio na haya anamuachia dada amfulie mpaka pichu.
umaskini tu huna lolote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti pichu za rangi ni za kusafria kwan kuna nembo ya bus au ndege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom