Mwanamke usiniulize haya..!

Ila mkiwa na ugomvi naomba tu msiulizane...maana lazima muone ni kero
 
Mpe pesa ya kutosha.
Ukitaka kuondoka mpe tena ingine mwambie usinitafute kweny simu tutaonana jion au kesho
 
Ww unataka kuulizwa in a romantic way sio kuulizwa kama mtu mwenye kesi anayesubiriwa mahakamani[emoji28]
 
.
Haya maswali ni kama mwanamke anakupangia mwanaume namna ya kuishi.
.
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, sio kazi ya msaidizi kumpangia mkubwa wake nini cha kufanya.
 
kama unahusika kwenye utafutaji na kulisha familia asilimia 💯 hiyo mbwa isikuulize kitu oote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…