Mwanamke usiniulize haya..!

Aseee bila kusahau... ulinzi binafsi muhimu sana. Maanake wakija, sipati picha.
Unaniacha mwenyewe katikati ya majeshi ya Russia.... [emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573]
 
Kama uko kwenye ndoa na huulizwi hayo maswali basi jua ndoa ni mfu
Lakini Queen Kan , si kuna namna ya kuyauliza lakini kwa njia rafiki kidogo? Ndio yawe makavu hivyo kama ya mtu na kibarua wa shamba lake la mizeituni?
 
Unaniacha mwenyewe katikati ya majeshi ya Russia.... [emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573][emoji3167]‍[emoji573]
Hapana mkuu, nijizatiti hapa...maanake kitaumana.
 
Ukiona huulizwi hayo maswali jua huna umuhimu kwa mwenzi wako. Uende popote yeye hajali, usirudi home ukiamua ulale huko huko mwenzako haulizi hata saa ngapi unarudi yaani kama una akili timamu lazima ushtuke, huna chako hapo.
 
Akiuliza moja ya hayo maswal huwa najipiga kifua mara 3 harafu najibu kiume kwa herufi kubwa DON'T SPY MY LIFE
 
Mi sinaga muda wa kuuliza maswali hayo,nilijua nakwaza kumbe hampendi❤️
Ila swali ambalo siwez jizuia kuuliza ni kumuuliza mpenz wangu kama Bado ananipenda maana mapenz yanachuja bhana usipoyaboost
 
Uko sawa kabisa..hasa nikiwa na stress za maisha ndio kabisa..siwezi jibu maswali kama haya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo ntakua naulizwa maswali tu siku nzima? Sasa kuanzia sasa hivi sijibu chochote nakaa kimya tu.Hayo ndio majibu nilimpa mwanamke wangu na amekoma kabisa anaishia kusema sema pembeni tu huko haka kajamaa kakorofi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…