Aseee bila kusahau... ulinzi binafsi muhimu sana. Maanake wakija, sipati picha.Hakuna haja ya kupewa mlinzi binafsi pia? Maana maisha yangu yako hatarini wakija akina mama na maendeleo hapa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo wa ugomvi sasaHuenda sio rahisi kuwapata... Na ndio maana hata ukiwa na anayeuliza hayo dawa ni kutokujibu tu
Tupo wengiSijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...
Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...
Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
- Uko wapi...
- Uko na nani...
- Unafanya nini...
- Ulikuwa wapi...
- Ulikuwa unafanya nini...
- Ulikuwa unaongea na nani...
- Unarudi sangapi...
Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
Hii point ya mwisho umemaliza kila kitu mkuu! Hata kwa upande wangu ni hivyoSi kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
Mi huwa sijibugi hayo maswali, hata arudie mara10Tabu sana... Mwingine anafika mbali kabisa, Uko wapi, au ndio uko kwa hao Malaya wako?...
Hapo uko mgongo wazi unachanganya zege na jua ndio linachoma nyuzi 90...
Nakubaliana na wewe... Lakini walau basi yaulizwe kwa namna fulani ya "kichokozi" kidogo... Yakija yakiwa makavu mno ni kama vile yanakuwa tayari yanaulizwa "kishushushu"Ukweli wengi hatupendi maswali hayo hasa wanaume ila hainabudi kujibu tena kwa ukweli maana hakuna jinsi.
Ukishakua na commitment ya mahusiano mambo hayo hayakwepeki, .
Mtu anayekupenda lazima ajali hali yako na sehemu ulipo.
ili usiyapate maswali hayo inabidi utafute wa night stand
So you whether you are on board (in relationship) or you're out.[emoji3577]
Kabisa kabisa... Yani unapokea simu, mathalani ni saa nne asubuhi, na mke anajua kabisa uko ofisini. Lakini anaanza kuuliza UKO WAPI... Moja kwa moja inakuja akilini kuwa huenda ana tuhuma fulani zinafuatia maana obviously anajua ulipoHii point ya mwisho umemaliza kila kitu mkuu! Hata kwa upande wangu ni hivyo