Ningekuwa na uwezo whatsapp na instagram ningepiga marufuku maana sioni maana yake kwa wengi zaidi ya umbea,ushankupe na ushankunanku!
Hachelewi kukutumia picha za m.a.z.i.w.a
Wewe ni msichana/ mwanamke ( lady ? ).Usimuulize mwanaume swali hili hapa :
Namba yapo ipo kwenye watsup? AU Upo kwenye watsup ?
SABABU :
1. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake makahaba so ukiuliza swali hili una kuwa una raise suspicious.
2. Swali hili huulizwa na watoto wa shule ( watoto wa mulugo ) ambao ufahamu wao kuhusu maisha ni mchanga so unapouliza swali hili unakuwa unepeleka meseji kwenye mind ya mwanaume kuwa ufahamu wako ni mdogo.
3. Maswali kama haya huwa wanaulizwa wavulana ( watoto wa facebook ) so haupaswi kuuliza swali kama hili kwa mwanaume
3. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake washamba.
4. Swali hili huulizwa na wanawake/wasichana malimbukeni.
hee kumbe ndo unanifukuza nisijiunge kabisaa sHapo ndo utaona kumbe unayemuheshimu hafai kuheshimiwa, yan unakuta jitu unaliheshimu sana af linakutumia "kipenseli chake" bila hata chembe ya aibu
Wabongo mnajua kujipa moyo,yan huyu nae alieleta uzi huuu nae anajiita GT sio?hahahabaha ha ha mwanangu kua uyaone,kaz ya whatsup usiilinganishe na JF hata sku moja utabsha tu ili Mods wakuone jembe bt n vtu viwil tofaut bhana