Mwanamke unayajua haya

Mwanamke unayajua haya

Maudhui fln pendwa. Dada zangu shikeni neno na mkaishi vizuri na wanaume wenu na mungu abariki mahusiano yenu yawe ya heri na baraka tele
 
Ex girlfriend wangu alikuwa ni mtu wa tit 4 tat yani hta km kahc umezngua na 2likuw kwenye furaha she doesn't care she yelled at me carelessly at the end nlikimbia na hajui kwa nn mpk leo
 
Hata mi kwangu ni hivyohivyo
Kila mwwnamke ana price yake....yule wa mia siku akiikosa hiyo mia uliyokuwa unaileta mezani atakuvumilia siku tatu.

Ya tano atakuwa anaona n'gombe inayozunguka ndani ya nyumba. To me ni aheri nimcheat mwanamke anikamate nikifika nyumbani nitajua namna ya kujitetea ila sio niende nyumbani mikono mitupu maana hanielewi.

Na rebeca kilio cha wanawake wengi kwenye ndoa ni kutokuhudumiwa.

Haya ya michepuko ni mengineo ila main topic ni kutokuhudumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nagombana na wangu sababu ya namba 9. Hanipigii simu hadi kuwe na sababu. Ila sasa nduguze na mchepuko wake yaani ni kama mvua za masika si kwa wasap, sms, telegram au call

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom