Mwanamke unayajua haya

Mwanamke unayajua haya

uzi wa ukweli sana.
hongera sana mtoa uzi.
mwanmke akizingatia haya lazima aolewe au atapata mahusiano yenye manufaa kwake.
ila haya yanayohangaika kuolewa .
mengi ni yana roho mbaya,
na yanatafta wanaume wakuwatumikisha tu.
bahati nzur na sisi hatutaki ujinga.
lipo limoja tulijibizana matusi siku 2 ,badae kumbe lina mimba yangu bila kujua.
sasa hivi linasoma namba peke yake na mtt.
kiukweli nna shida ya mtt.
lkn kila nikikumbuka.
nakosa hamu ya mtt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuondoka ni rahisi hivyo??? Ume invest time na pengine mna familia tayari.. watoto?? Wanawake ni wavimilivu sababu wanazaa kwa uchungu,wanatake full responsibilities of offsprings... huwaga najiuliza km wanaume ndio wanazaa .. ndoa zingedumu?????
Usituchukulie poa, wanaume walio wengi tuna upendo wa dhati kwa watoto kuliko hata ninyi wanawake mnaozaa kwa uchungu. Ukiona mwanaume hapendi watoto ujue kuna kitu nyuma ya pazia. Japo sikatai kuna baadhi ya wanaume hawajali sana watoto wao lakini hii ipo pia kwa upande wa wanawake, wapo wanaochukia watoto wao waliowazaa hadi kuwatupa vyooni, imagine! Hakuna mwanamme anaweza kumtupa mototo wake chooni believe me.
 
uzi wa ukweli sana.
hongera sana mtoa uzi.
mwanmke akizingatia haya lazima aolewe au atapata mahusiano yenye manufaa kwake.
ila haya yanayohangaika kuolewa .
mengi ni yana roho mbaya,
na yanatafta wanaume wakuwatumikisha tu.
bahati nzur na sisi hatutaki ujinga.
lipo limoja tulijibizana matusi siku 2 ,badae kumbe lina mimba yangu bila kujua.
sasa hivi linasoma namba peke yake na mtt.
kiukweli nna shida ya mtt.
lkn kila nikikumbuka.
nakosa hamu ya mtt.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂mkuu ani hawa viumbe bwana
 
Mwanaume anahitaji constantly access to papuchi,nothing else lol
Hapo ndipo mnakosea wanawake kwa kudhani we only need papuchi, sisi wanaume we also deserve little things such as caring, being bought gifts etc, tunapogundua mwanamke hakuna atoacho zaidi ya papuchi automatically she turns into a *** buddy na hapo ndipo utasikia wanawake wengi wanalalama bila kujua wao wameanguka sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kwanza ninakubaliana nawewe

Mwogope sana Mtu hasa mwanamke unayemkosea kisha anakaa kimya, wale wa kupayuka hawasumbui kichwa kwasababu ni moto wa makaratasi unawaka paap kisha unazima.

Zingine sijasoma na sisomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo mnakosea wanawake kwa kudhani we only need papuchi, sisi wanaume we also deserve little things such as caring, being bought gifts etc, tunapogundua mwanamke hakuna atoacho zaidi ya papuchi automatically she turns into a **** buddy na hapo ndipo utasikia wanawake wengi wanalalama bila kujua wao wameanguka sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Very few men are like you, toa sex in the equation then unapata mchepuko! It is common for men to think about sex all the time..I think I hv seen somewhere is due to sex hormone called testosterone..which is higher in men
 
WANAWAKE

1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama anabusara atatafuta njia ya kusuruhisha. Usiwe mtu wa tit-for-tat.

2. Kama atakutumia ujumbe wa maudhi katika simu, usimjibu kwa maneno ya kuudhi pia. Muandikie "Samahani" au "Asante sana.".

3. Hakuna mwanaume anapenda mwanamke anayemrudishia maneno, kama wewe ni mke uliye na busara, funga mdomo wako. Pale atakapokuwa ametulia ongea nae mmalize mgogoro.

4. Usiringie uzuri wako. Hujawaona wanawake wazuri wengi tu bado wako single, huvaa nguo za kuacha miili yao wazi, ziwa linaonekana wazi bila kujua wanaume hawapendi hivyo nao wanaishia kuwa wezi wa waume za watu na uzuri wao kama wameshushwa toka mbinguni? Tabia yako itakuhifadhi katika moyo wake.

5. Kamwe usimfananishe na EX wako au mwanaume mwingine, huwezi jua huyo mwanaume nae ana mapungufu gani katika mahusiano yake. Binadamu hatuko 'perfect' na hatufanani....Mvumilie muombeee

6. Usiwe wa kupokea tu, mnunulie chochote, haijalishi kama anavyo vingi au ni kidogo sana, ila kilichotoka kwako siku zote kina umuhimu mkubwa kwake...na hii itaamsha hali ya kujaliana

7. Kuwa mwanamke mwenye mawazo 'mtambuka' usifikirie jambo moja tu, mshauri masuala ya maendeleo, miradi, kununua vip-longa na mengineyo. Usiwaze habari za kucha, nywele, mapochi na shopping, nguo za kuacha miili wazi, hayo mambo kwa mwanaume yamepita kushoto. Na ni ya ziada tu...fikiria juu ya kufanya familia yenu iwe bora zaidi

8. Mheshimu yeye pamoja na familia yake, usidharau wadogo zake, dada zake na kaka zake, hana namna hao ndio ndugu zake na kimbilio alilo nalo, hata kama hawana hali nzuri.

9. Mambo madogo ila yana maana kubwa, mpigie simu, kamwe usisubiri yeye ndio akutafute. Mapenzi ni 'two way traffic'....mchokoze hata kwa msg za hapa na pale .

10. Jithamini wewe kwanza na yeye atakuthamini.....usikibilie kuthaminiwa wakati wewe haujithamini una Tshert ya uchaguzi mdogo ndiyo unayonyonyeshea ...ilishabadilika mpk rangi kufua hautaki unasingizia upo busy saa ngapi mumeo atakuthamini

11. Kwa kuwa hana ukwasi leo, haimfanyi kuonekana ndio atakuwa na ukata milele, tizama sana ni nini kinamuendesha kichwani mwake. Tizama sana mawazo yake chanya na njaa ya kutafuta mafanikio. Ila kama yeye awaza ngono na pombe tu, hilo ni jipu uchungu.....fanya kila unaloweza mtenganishe na marafiki zake wapenda ngono na pombe

MAOMBI YANGU KWAKO
Mwenyezi Mungu akufungue macho katika mahusiano yako, na kama bado hujapata akuongoze vema ukampate yule aliye sahihi, maana lengo la mahusiano sio kuumizana kihisia, bali ni kuziunganisha furaha zetu tulizokuwa nazo hapo mwanzoni kabla ya mahusiano na kutengeneza furaha kubwa zaidi.

Like Page

Sent using i phone x
Akikumwagia shahawa ukeni mwambie asante kwa kunitia hii ndo kali eti.
 
Back
Top Bottom