Mwanamke unayajua haya

Mwanamke unayajua haya

Kama sio rahisi ina maana yanavumilika yanayokusibu.

Kwa hiyo mwanamke asiye na uwezo wa kuzaa hana uvumilivu mkuu?

Sio rahisi kuwa na uvumilivu huo, ni rahisi kwa mwanamke kuondoka kama hana watoto kuliko akiwa na familia..ila kwa desturi zetu once ukiolewa tu then kuanzisha familia ni jambo linalotakiwa kuanza ... utaskia ‘ndoa haijajibu tuu,, na ukichelewa unarushiwa kila aina ya lawama... mie naona huruma sababu wengi wanakuwa traped kwenye huo mtego..huu ni mtego sababu once ukishazaa you are done...ni kifungo cha Maisha hicho... Ni sacrifice...

Hilo la mwanamke kutokuzaa ni matokeo tu.. ila wanawake tumeumbwa kuzaa na hii ni kwa species nyingi,,,, ukitaka kujua tumeumbwa kwa hilo, angalia hata wasiozaa na waliozaa kama wana tofauti kimuonekano? Lol. Anyway nilichokua nataka kusema parental investment sisi wanawake tuna put more kwa watoto.. na ndio maana tunavumilia mengi kutoka kwa partner, ndio nikauliza hii hali ingekua opposite je na wanaume wangekua wanavumilia maudhi yetu wanawake?ningependa kujua out of curiosity
 
Wanawake mnamaudhi mengi saana ambayo nasi tunaimani mngekuwa sisi msingeweza kuyavumilia.

Mfano rahisi tu.... ukitaka uone maudhi na dharau ya mwanamke ishi naye week 2 hauna kipato.

Kila gender huvutia kwake..tuyaache hayo ila ujue kwa uionavyo gender yako ipo perfect upande mwingine huona hivyo.
 
Mnhhhhhh si kweli kipato ndio kinaleta maudhi na dharau kutoka kwa wanawake.... ingekua hivyo ndoa kwa watu wenye kipato cha chini ingekua hadithi tuu,,, anyway lets agree to disagree..hii kitu ina depends on subjective experiences
 
Kila mwwnamke ana price yake....yule wa mia siku akiikosa hiyo mia uliyokuwa unaileta mezani atakuvumilia siku tatu.

Ya tano atakuwa anaona n'gombe inayozunguka ndani ya nyumba. To me ni aheri nimcheat mwanamke anikamate nikifika nyumbani nitajua namna ya kujitetea ila sio niende nyumbani mikono mitupu maana hanielewi.

Na rebeca kilio cha wanawake wengi kwenye ndoa ni kutokuhudumiwa.

Haya ya michepuko ni mengineo ila main topic ni kutokuhudumiwa.
 
Back
Top Bottom