Mwanamke: Unamchagua yupi? Mwanaume anayekufikisha au mwanaume mwenye muafaka?

Njoo huku mamii upate vyote!!!!!!!
 
Wewe na huyo Ennie...! Jamani wivu umeumbwa! Ennie umempa nini huyu bwanaaa cc Ennie

Haha haaaa!!!
Nimecheka kwa sauti mie.
Huyo hapa ndio kafika mamy,ukitaka maujanja njoo kipande ile tusitimuliwe bure kwa kuchakachua uzi wa Ambiere Mtambuzi. OLESAIDIMU njoo useme nimekupa nini.........
 
Last edited by a moderator:

Dada Ennie wakati unakazana kumfundisha nishike hapa au pale mwenzio keshamaliza kitamboo na kipara keshajilalia zake hadi siku nyingine atakapokusanya nguvu...................... LOL
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya kweli ndo kila kitu. Kitanda ni asilimia chache tu kwangu .....nikipendwa nikapenda hakuna nguvu ya ziada kitandani hata kiss tu inaweza kumaliza kila kitu .
 
Dada Ennie wakati unakazana kumfundisha nishike hapa au pale mwenzio keshamaliza kitamboo na kipara keshajilalia zake hadi siku nyingine atakapokusanya nguvu...................... LOL
Yetoni!!!
Mbona unayafanya yawe magumu hivyo kaka?
Ila kuna alternatives kaka jamani
 
Hao wanaume wabovu kitandani wanatoka wapi? Mbona sijawahi kutana hata na mmoja. It takes two to tango. Nimekutana na abuser na gentle types na wote walikuwa wananifikisha coz naamini kufika ni juhudi zangu kwa 50%, hiyo nyingine ni huyo mwenza. To me, kumpenda mtu ni 75% towards kunifikisha.
 
Dada Ennie wakati unakazana kumfundisha nishike hapa au pale mwenzio keshamaliza kitamboo na kipara keshajilalia zake hadi siku nyingine atakapokusanya nguvu...................... LOL

Huyo si ana mapungufu ya nguvu za kiume? Kama sio basi hana sifa ulizotaja hapo mwanzo kwani ni selfish. Mtu anayejali na aliyependa basi hataona kama ni kazi kumfikisha mpenziwe, actually atafurahia kumfikisha.
 
Last edited by a moderator:

Waambiee banaaa
 
mkuu Mtambuzi njoo ugonge 'like' hapa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanamke wa siku hizi atakayekubali kuacha kuoga kwa steam kwenye jakuzi eti kisa hafikishwi. Wanavumiliaga tu hata hawasemi kama hawajafika ila baadae wanatoka kumegwa nje, then wanarudi ndani kuendelea kula gud life. Hivi viumbe vimekengeuka siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…