Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
skiliza nikwambie,,,,,,, tena na macho uyafungue usome unielewe... mimi ni nilham..... na kama ni nilham nshakuchoka kila siku watoka na mwengine.... nimekuwa sijiamini na changu.... sasa siwez tena kustahmili abuy we tafuta id nyengine... endelea kuwa na michelle kesho ubadilishe umchukue rose uone kama utaskia neno litokalo kwangu..... sana sana ntakupongeza tuu... wivu sina ......
hivi ku sign jina lingine humu si imo?
 
hii bigirita!!!
nilikuomba msamaha kwa kukuchezea rafu in my sredi pls sikuintend ila nilishambuliwa sana nkajichanganya.
Nijulishe if we can match foward kwa roho safi.

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,am out jamani,nilikuwepo............:car::car::car::help::tape:
 
Ya nini malumbano ya nini maneno......

Najiweka pembeni,naepusha msongamano.....bora......i love this song

Dedication to Hashy & Nilham, i wish you all the best

Deeply regret the fact that i broke up the bond you had.........lol
 
michelle usifanye hivyo please hash bado akuhitaji eee?? please yaani i mean it...??
Najiweka pembeni,naepusha msongamano.....bora......i love this song

Dedication to Hashy & Nilham, i wish you all the best

Deeply regret the fact that i broke up the bond you had.........lol
 
Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi!

Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu.

Sasa wadada jamani, tukitongozwa tusivimbe kichwa na kujiona ni wazuri sana. Ukitongozwa ujue umedharauliwa au umependwa. Ila kudharauliwa ndio mara nyingi. Mdada anayejiheshimu sio rahisi kutongozwa mara kwa mara maana hata wanaume hujifikiria mara mbili mbili.

Fikiria unatongozwa na libabu hilo au katoto kadogo hivi hapo si umedharauliwa?

Wanaume wanapenda kujaribu jaribu waone watapata au lah (uongo wanaume?). Tuwe wagumu kwa hilo.
Nawasilisha.


Wanawake kutongozwa ndiyo starehe yenu. Yaani mwanamke akiwa hatongozwi tongozwi mara kwa mara anaweza kupata STRESS!!!
 
ucje jikondesha tuu bibie... wee vumilia tuu... ndio maisha hayo...

Ningevumilia ningekuwa sina option au mi ndo mama Hashy mwenyewe,nimegundua nilikuwa back up wewe ukiwa haupo,ya nini??

Kuna wanaotaka kunifanya priority ngoja niende huko kabla hawajabadili mawazo:playball:
 
ucje jikondesha tuu bibie... wee vumilia tuu... ndio maisha hayo...
hii!NILHAM nakwambia nlijuta kwa nini niliileta ile sred, WENGIME WALINITISHA KUWA WAMEKWISHANITAMBUA NA WANAMJUA MMASAI WANGU watampelekea habari kuwa nachanganywa na mmarangu.hapa JF ukitaka aman leta mada za kusifia wanaume watakuapreciate uko juu.
 
mmmh kweli wallah usemayo...
hii!NILHAM nakwambia nlijuta kwa nini niliileta ile sred, WENGIME WALINITISHA KUWA WAMEKWISHANITAMBUA NA WANAMJUA MMASAI WANGU watampelekea habari kuwa nachanganywa na mmarangu.hapa JF ukitaka aman leta mada za kusifia wanaume watakuapreciate uko juu.
 
ilitokea mjomba wangu (mchagga)akawekwe rumande kwa ishu flan.nilipomtembelea akaniambia kesho nimletee KONYAGI niimiminie in kopo la maji ya kilimanjaro yawe kama maji,nkamwambia ntaionjaje wakati wa kukupa hapa centro?basi akaniambia nimiminie bia kwenye wali uwe tepetepe manake anahisi damu itasimama kama hatapata pombe hiyo kesho. HIVI MICHALLE KUNA MCHAGA mwanaume asiyetumia mibia?

Mdogo wangu unakosea jina saa nyingine hata sielewi kama ni mimi,ni MICHELLE mamii...

Wapo wachache wasiotumia bia,haina shida mradi mtu asizidishe au akashindwa timiza majukumu yake akaipa pombe nafasi kubwa sana,kwani shem wetu ye hatumii manake nao wanakunywa???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom