Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
skiliza nikwambie,,,,,,, tena na macho uyafungue usome unielewe... mimi ni nilham..... na kama ni nilham nshakuchoka kila siku watoka na mwengine.... nimekuwa sijiamini na changu.... sasa siwez tena kustahmili abuy we tafuta id nyengine... endelea kuwa na michelle kesho ubadilishe umchukue rose uone kama utaskia neno litokalo kwangu..... sana sana ntakupongeza tuu... wivu sina ......

Najiweka pembeni,naepusha msongamano.....bora......i love this song

Dedication to Hashy & Nilham, i wish you all the best

Deeply regret the fact that i broke up the bond you had.........lol



michelle usifanye hivyo please hash bado akuhitaji eee?? please yaani i mean it...??


never again!!

mmmhhh namuonea imani.... kwa ajili na mimi siwezi tena tena tena kumsamehe too late...

Leo nimejifunza kitu! Samahanini sana wahusika kwa kubeba post zenu bila ruhusa!
 
Ulifikiri uko mwenyewe mwanasheria sio?? sasa ndo hivyo,tumeshamaliza kila jambo kwenye arbitration......wewe endelea kupitia hilo jalada tu.......:playball:

Ukisikia mambo ya DOWANS ndiyo haya wewe unatoa uamuzi wakati hata BARAZA halijaamua
 
mitongozo muhimu sana tusijidai hapa wadada ila sio kila anaekutongoza ndo umkubali
 
naomba summary ya nini kinaendelea hapa. naona sredi hafla imegeuka uwanja wa kufumaniana.
 
Ohooo!!! There kwanza kabla ya yote nani alihalalisha habari ya you tube thread ile ya kule
mkuu kwa ufupi unatakiwa kuachia ngazi, maanake una mpinzani ambae kahifazi na kumemoraiz video za youtube zote mpaka kwaya za john komba.
 
Aisee, ngoja nimtafutie mtu BAN ya miezi sita hii haiwezekani
si umeona? jamaa alitundika ma video ya youtube mpaka afrodenzi akafkiria anatongozwa na muanzilishi wa youtube. hehehe hakyanani jamaa humuwezi, yaliobaki jifundishe mashairi tumpe kampani mwanakijiji kwenye sredi zake.
 
hii kesi nitalazimika kuwachukua hawa wadada pembeni ili kuwahakikishia usalama wao wasje wakakomit suicide. si unajua wadada wana mioyo zaifu sana.

Ha ha ha what a clever idea ngoja aje hashycool hapa btw uporoto01 yuko wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom