Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
Mungu nisamehe kwa kusema hili na mama watoto asione pia.

Mkuu mm napenda mazoezi na mechi siku hiyohiyo kama tumependana kwann tusubiri.

Halafu mm sioni kinyaa mwanamke akijirahisisha kama usemavyo ndio kwanza udenda unanitoka ka bulldog.
 
ni kweli wanaume kazi yao ni kutongoza tongoza tu kutokana na kuweka tamaa mbele, mm ni mfuasi mzuri wa msemo kataa neno usikatae wito hivyo inapofika kutongozana huwa napotezea kwa kutoa namba feki kisha nakuacha na nicheki baadae tuongee kuna sehemu nawahi.
 
1. Natamani mwanamke wa kunitongoza nijue ataanzaje; akishindwa nimwelekeze
2. Unapokuwa na miche mingi wee mwagilia yote bila kubagua kwani kujui upi utapamba (utazaa mazao mengi) wakikutongoza wengi hapo tatizo lipo wapi; jali malengo na kazi zako aliye serious utamjua mwenyewe hapa hapahitaji darasa sanjali na watongozaji wenyewe - nani kaenda shule ya kutongoza. Hakikisha muda wa kutongozwa usiwe wa kazi au shule na mazungumzo yenu yasiingilie mipango (malengo) yako.
Onyo: Uasherati ni hatari kwa afya na mahusiano yenu!

Siungi mkono kwani hakuna mbaya wala mzuri hapa duniani - mpaka yule asiyekupenda ndo anaweza kutambua kama wewe ni mbaya vivyohivyo yule akupendae ndo anaweza kutambua kama u mzuri na si vinginevyo! Na mwanaume anayeweza kutongoza mtu asiyempenda huyo ndo mjinga namba1
 
Habari ya tangu jana kwa kila mmoja, leo nimeibuka na hii maada inayowahusu hawa dada zetu. Labda mtuthibitishie ktk hili. Siku hizi wanawake mmekuwa maharage ya mbeya mno.

Yaani inafikia hatua mnajitegesha kabisa ili utongozwe na ugawe uchi, mmefikia hatua mpaka mmekuwa kero sasa unajitongozesha kwa mwanaume halafu nusu saa baade tayar upo kitandan umevuliwa nguo huku ukiigiza kulialia kwa uwongo mtupu.

Jiheshimuni bwana mmetuchosha mpaka tunapata kichefuchefu. Badilika hebu zitunzeni nyuchi zenu kwa wanaume wenu watakao waoa.

heeee! imekuwaje kufufua hii mada. khaaaa!!
 
yaani Mods wa jf siku hizi sijui mmekuwaje. mnaunganisha tu threads mnaedit tittle. hii thread yangu na ya makomana mbona haviendani!!!! kama vipi muiclose tu hii thread na sio kufukunyua vitu vya kale mnaviunganisha na threads za hawa dot com.
mnakera banaaaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom