uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,853
- 38,479
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi
Tulikubaliana siku za kukutana kimapenzi.
Basi siku moja binti huyo alinifata akaniambia mpenzi wangu ninanyenge sana kivyovyote vile Leo naomba unifanye.
Kwa kuwa nilikuwa najua dalili zote za kuja kwa yai katika mrija wa folopian tubu (ovulation) nilimjibu siwezi kufanya hivyo Leo labda tusubili siku TATU au NNE zipite tutafanya.
Alikataa kata mpaka akafikia hatua ya KUNIBAKA MIMI MPENZI WAKE WA KIUME.
Tulivomaliza kufanya nikamwambia angalia siku zako kama zitatokea mwezi huu.Basi tulisubili mpaka siku zake tuzione cha ajabu hazikutokea.
Nilimwambia tayari mimba hiyo ishaingia,kwahiyo inakuwaje kuhusu huyo mtoto,Alinijibu TUTALEA lakini nilishamwambia sipendi kuwa na mtoto sasahivi.
Hivyo mpaka sasahivi Nina mtoto lakini sikutaka kabisa mtoto wa nje ya ndoa.
Ushauri wangu hasa kwa wadada pia na wakaka ukiona dalili zifuatazo usijaribu kufanya mapenzi na mwanamke kama hauna mpango wa kuwa na mtoto kwa wakati huo.
1.Mwanamke akiwa na nyege sana kuzidi siku zote(highest sensitivity of having sexual entercourse).
2.ute ute wa uke utoka bila kutalajia mwenyewe.(unexpectable vaginal fluids)
3.Joto kuzidi kiasi kwa siku hizo zinaweza kuwa zaidi ya mbili.(Highest body temperature)UKITUMIA THERMOMETER ITAKUWA NZURI SANA..Hizo ni dalili kuu za kukujulisha kuwa yai limekuja katika milija ya uzazi.
Kwenye swali lolote unaweza uliza hapa.
KARIBUNI KWA MASWALI NA MAWAZO ZAIDI.View attachment 1187722
Kirunjw hicho umecungashiwa, jaman ujashtuka hauna hata sifa ya kutudhauri sisi