Mwanamke ukiona dalili hizi acha kufanya mapenzi.

Mwanamke ukiona dalili hizi acha kufanya mapenzi.

Aisee hii Mada uki connect dots machale yananicheza mkuu umeziwa mtoto kapime DNA huyo sio wako

Narudia tena mkuu hyo mbinu wanatumiaga Sana kapime mkuu usizarau tunachokwambia na wala usizarau jina la hii I'd lilikupa huu ushauri

Nazani kuna kusudi wewe kuweka huu uzi ili uokolewe na hio zuluma
 
Ha ha ha ha ha
Hatuwagi na nyege hadi za kutaka kubaka ..huyo alikuwa anaseti mipango yake baada ya kutinginya mambo mahali.
 
hivi kumwagia nje siku moja moja huwezi?
Wengine kumwagia ndani mpaka tuamue wenyewe isee na inategemea na demu unayemumwagia maana maademu wengine nuksi tu yaani huwa hawajielewi kiasi kwamba hata siku zao hawaelewi zinaendaje na wengine ni wazee wakutegeshea...So ukikutana na demu makini anayejitambua kwanza hawezi kushika mimba kizembe maaana kila kukicha wanabuni mbinu za kuzuia mimba kizembe Ila wale mademu wa kichwa cha panzi ndo hao wakikuta na wanaume mazembe kama huyo mtoa mada wanawachomekea[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Elimu hii ingefikishwa kwa binti zetu mashuleni kwa mkazo wa aina yake..Maana mabinti wengi ktk vipindi hivi ndio wanakata viuno kama feni wakidhani wako salama.
Wacha wakate viuno tu maana huwa yakikaa yana jadili mikao ya kuwakomesha wanaume
 
Umetisha isee, hebu ukuje PM kuna zawad yako[emoji16][emoji16]
Ha ha ha ha ha
Hatuwagi na nyege hadi za kutaka kubaka ..huyo alikuwa anaseti mipango yake baada ya kutinginya mambo mahali.
 
Hizo dalili ninazo almost kila siku na nafanya safe days tu sipati mimba.....inategemea ntu na ntu
 
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi
Tulikubaliana siku za kukutana kimapenzi.

Basi siku moja binti huyo alinifata akaniambia mpenzi wangu ninanyenge sana kivyovyote vile Leo naomba unifanye.

Kwa kuwa nilikuwa najua dalili zote za kuja kwa yai katika mrija wa folopian tubu (ovulation) nilimjibu siwezi kufanya hivyo Leo labda tusubili siku TATU au NNE zipite tutafanya.

Alikataa kata mpaka akafikia hatua ya KUNIBAKA MIMI MPENZI WAKE WA KIUME.

Tulivomaliza kufanya nikamwambia angalia siku zako kama zitatokea mwezi huu.Basi tulisubili mpaka siku zake tuzione cha ajabu hazikutokea.

Nilimwambia tayari mimba hiyo ishaingia,kwahiyo inakuwaje kuhusu huyo mtoto,Alinijibu TUTALEA lakini nilishamwambia sipendi kuwa na mtoto sasahivi.

Hivyo mpaka sasahivi Nina mtoto lakini sikutaka kabisa mtoto wa nje ya ndoa.

Ushauri wangu hasa kwa wadada pia na wakaka ukiona dalili zifuatazo usijaribu kufanya mapenzi na mwanamke kama hauna mpango wa kuwa na mtoto kwa wakati huo.

1.Mwanamke akiwa na nyege sana kuzidi siku zote(highest sensitivity of having sexual entercourse).

2.ute ute wa uke utoka bila kutalajia mwenyewe.(unexpectable vaginal fluids)

3.Joto kuzidi kiasi kwa siku hizo zinaweza kuwa zaidi ya mbili.(Highest body temperature)UKITUMIA THERMOMETER ITAKUWA NZURI SANA..Hizo ni dalili kuu za kukujulisha kuwa yai limekuja katika milija ya uzazi.

Kwenye swali lolote unaweza uliza hapa.
KARIBUNI KWA MASWALI NA MAWAZO ZAIDI.View attachment 1187722
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mwanamke hawezi kumbaka mwanaume.
 
Kuna samsin hapa kama vile unalia lia.

Hahaaa. Kama vile ulibakwa ukaibiwa hadi shahawa. Unajua kuhusu Ovulation ila hujui kuna emergency contraceptives ?

Lea mtoto. Mtoto ni baraka.
 
umezungumza kama kajamaa ka fm 2, mwaka wa 5+ huwa situpii nyavuni kama sina uhakika wa siku za hatar mie mzee wa kutochafua vyombo
 
Halafu wake zenu wakiwaambia acheni use*** mnakuja kuomba ushauri jf
 
Back
Top Bottom