Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
MkuuKubeba Mabox na baridi ipo kali sana huku unachoka ile mbaya kuipata Euro au dollar sio kazi ya mchezo unapindishwa mpaka unakumbuka kwenu kuwa kuna raha kuliko Ughaibuni. Mkuu swissme usicheze an kubeba mabox.Mkuu mida tayari ya kupiga box mkuu.umeishaingiza mi dollars mkuu sasa uko home unatafuta usingizi ok
swissme:
Hawezi kuangukia sufuria ni mzoefu huyo Mkuu BAK kazi yake anaijuwa barabara.Hmmmmm! akikosea kubalance kaangukia ndani ya sufuria, hapo itakuwa patashika nguo kuchanika.