Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

^^
Sina hakika kama watakuelewa!
Ila kwa wachache wenye hekima watafanyia kazi
^^
 
mama la mama yani una hekima sana. Ujumbe wako utaokoa wengi. Kiukweli wanawake wengi wanakosa unyenyekevu na hutamka chochote kinachowajia akilini bila kuchuja. Ubarikiwe mno naamini umewajenga wengi kwa thread hii nzuri
 
17774_563658760364789_1652591209_n.jpeg

ha, ha mkuu hakuna kitu kibaya kama kuoa aafu baadaye unagundua uliingia chaka! utajuta aisee
 
hahahahaha mama la mama una mambo wewe ushauri mzuri kwa wadada
lakini mbona umekalia fursa mama la mama ungeanza kutoa darsa kwenye vichenipati usalimishe ndoa za wadada wanaopenda vyombo tu

umegundua kuwa wadada wa siku hizi amachosubiria ye ni apewe vyombo asepe. hana muda na mengine mnayomuongelea
 
Last edited by a moderator:
umegundua kuwa wadada wa siku hizi amachosubiria ye ni apewe vyombo asepe. hana muda na mengine mnayomuongelea

yeah wengi wanapokuwa kwenye vichenipati hawazingatiii mafunzo zaidi ya kuwaza mazawadi tu yatakiwa madarasa kama haya ya mama la mama
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke -------- huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Besti naunga mkono mada,kweli umesema la msingi sanaaa...
 
umegundua kuwa wadada wa siku hizi amachosubiria ye ni apewe vyombo asepe. hana muda na mengine mnayomuongelea

hahah,sasa mtu ukute ushaanza michezo hyo miaka kk 10 ilopita,kuna jipyaaa??c lazma utawaza tu microwave ya game au wapyy nk ,mashosty wameleta nin etc
 
Afterall kparty za ckuiz kuna mafunzo basii,km yapo aisee hayazidi half an hr or 45,sanasana kushindana nan kashona vzuri sare ya kitenge ,kupiga mapicha km kuna red carpet na kucheza mziki,...
 
wewnye masikioa na amesikia..........

hakuna mwanaume anayependa/taka kuishi na mwanaume mwenzake ndani.............
 
Ile kitu ya kufundana ilikua nzuri sana...huko bongo unaweza kuona mwanamke mzurii...ila akifungua mdomo dk 10 ...unatamani ukimbie...na kuna wengine tu sisi wabongo kwa ujumla tunafikiri kumuheshimu mtu ni udhaifu tukichanganya na ujuaji sasa inakuwa bala
 
Namuonea wivu mwanaume uliye naye aseeeeee.

Alistener.

Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama mwanaume ndo kakosea, Shoga usimtafute mchawi wa ndoa/yako mahusiano yako n wewe mwenyewe na kibesi chako, wataka jitia jabali haki sawa, kama haki sawa KOJOA UMESIMAMA NA USIJIKOJOLEE!
 
Back
Top Bottom