Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.Hakuna Mwanaume atakaa na wewe

Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje kuniacha na mi ni mzuri hivi', Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume, Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.

Yaani wewe Afande KIBESI, na Mmeo Koplo KIBESI, Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.

A woman should be tender.

Soft-tonned.

Alistener.

Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama mwanaume ndo kakosea, Shoga usimtafute mchawi wa ndoa/yako mahusiano yako n wewe mwenyewe na kibesi chako, wataka jitia jabali haki sawa, kama haki sawa KOJOA UMESIMAMA NA USIJIKOJOLEE!

aiseee hebu ni PM sasa hvi nitangaze ndoa mm. Nahsi ntaishi kama paradise
 
Watakuelewa kweli? Ngoja tuone!
 
Kumbe ndo maana nanihii haolewi..hah!
Ulimi kiungo kidogo sana chaweza kujenga na pia kubomoa..
 
Mwanmme akupende tu, atakuchukulia na mapungufu yako.
Mengine ni kujilisha upepo tu.

Na kiburi, lugha mbovu, tone, majibu mabaya ni athari za makuzi.

Mie nikikutana na mwanamme wa Pwani lazima azanie namfokea kunipandia juu, kumbe hapo ndio niko kwenye 'the very romantic voice of mine in spanish simulation'

Can't change my mother tongue for anything, this is who i am, take it or leave it.

nimeipenda hii mpk nahisi kujikojolea
 
mafunzo ya maana, ndoa nyingi zina yumba kutokana kauli za kuchefuana!
 
hahahahaha mama la mama una mambo wewe ushauri mzuri kwa wadada
lakini mbona umekalia fursa mama la mama ungeanza kutoa darsa kwenye vichenipati usalimishe ndoa za wadada wanaopenda vyombo tu
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa NGO's za kufutwa asap ni TAMWA, na somo la kuliondoa ni gender, haya ni majanga ya kitaifa..
 
Back
Top Bottom