Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

Mwanmme akupende tu, atakuchukulia na mapungufu yako.
Mengine ni kujilisha upepo tu.

Na kiburi, lugha mbovu, tone, majibu mabaya ni athari za makuzi.

Mie nikikutana na mwanamme wa Pwani lazima azanie namfokea kunipandia juu, kumbe hapo ndio niko kwenye 'the very romantic voice of mine in spanish simulation'

Can't change my mother tongue for anything, this is who i am, take it or leave it.

Hilo ni tatizo, what we call spirit of Anger. Si rahisi kujua kama unalo maana linakupet to the extent kwamba wewe ujue ndiyo ulivyo kumbe ni kero kwa wenzio. Hujachelewa unaweza lishinda eti.
 
Uwiii, siamini katika spirit hizi. Sasa wakurya wana spirits wote? Au wasukuma, maana wanakandamiza na kupayuka hasa wakiwa wengi.

Wanigeria je?

100% SPIRIT, utashangaa familia hawaoi wala kuolewa unafikiri wanapenda? au unaolewa na kuachika zaidi ya mara 5. Ni kwa NEEMA kujua vile ulivyo.
 
Duh! No comment.

Kutoolewa ama kuachika ni tabia, hakuna spirit. NA kila familia zinakuwa na tabia zao za kurithishana kama ka utamaduni hivi.
Hii spirit ni slogani tu zinazotumika wakti hakuna majibu ya kuridhisha juu ya jambo.

100% SPIRIT, utashangaa familia hawaoi wala kuolewa unafikiri wanapenda? au unaolewa na kuachika zaidi ya mara 5. Ni kwa NEEMA kujua vile ulivyo.
 
ushauri mzuri ..............ila umpate mwanaume ambaye anayejua thamani ya mwanamke!
Nyama laini ya ulimi ni muhimu jamani kwa wenza wetu...........maisha yanazidi kuwa matam maradufu!!!

Kama ya kwako ilivyo Paloma, mashallah....bazazi Mentor anajisifia kwamba amekuhamishia beach, kumbe nimegundua siri ya urembo aisee!
 
Last edited by a moderator:
Maneno mazima hayo inshallah ntayafanyia kazi zaidi......
 
Back
Top Bottom