Hivi jaman wana Jf naomba kuuliza swali hivi kama kuna mwanaume sio ridhiki kwanini kusiwe na mwanamke sio ridhiki,Mimi nina wasiwasi kabisa kuna wanawake sio ridhiki,hembu tulijadili hili kwa kina wana JF bila kuvunja mila zetu za kitanzania
ridhiki?????????
Hembu?????????
....;;;;...;.;...;MULUGO'S PRODUCT
So unakubadiliana wengine hawani hisia za kawaidaSasa mwanamke akitoa kabang inakuwa siyo shida sana kama mwanaume. Na hivyo hakuna mwanamke ambaye siyo rizki.
kubomolewa is not equal to kubakwa?kishimo kinakuwa kimeziba au?
Ulishasikia mwanaume kabakwa?
kubomolewa is not equal to kubakwa?
Hivi jaman wana Jf naomba kuuliza swali hivi kama kuna mwanaume sio ridhiki kwanini kusiwe na mwanamke sio ridhiki,Mimi nina wasiwasi kabisa kuna wanawake sio ridhiki,hembu tulijadili hili kwa kina wana JF bila kuvunja mila zetu za kitanzania
ndo wanakuaje hao?..au anakua haridhiki?..sijaelewa
makubwa....
leo kwa mara ya kwanza nimekuona ukishtuka, maajabu:clap2: