Mwanamke sio chombo dhaifu

kwisha

Senior Member
Sep 9, 2021
189
500
Nichukuwe muda huu kuomba sorry.

Kwa wale ambao nilikuwa na towa comment ya kuwatukana pale wanapo leta malalamiko yao ya kuomba ushauri pale wanapo pitia wakati mgumu kwenye ndoa au mausiano yao
Maana nimegundua duniani akuna kiumbe ambacho ni kigumu kuongoza Kama mwanamke
Nimegundua mwanamke sio chombo dhaifu kabisa hawa watu wana akili saana

Leo mimi ndo wakuomba msamaha kwa mwanamke Tena kwa sauti ya unyonge
Kweli nime amini zamani nilikuwa na kutana na panzi ila mmm nime kutana na tembo ana ni kanyaga kweli kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom