Mwanamke single pita hapa

Mwanamke single pita hapa

Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.

Karibu.

Hahahaha hutaki police,
 

Attachments

  • 10359225_462059420604582_5190378627070730521_n.jpg
    10359225_462059420604582_5190378627070730521_n.jpg
    52.8 KB · Views: 225
Mgirik

Kila mtu anaamini katika njia anayoiamini, si busara na hekima kubeza njia aliyoitumia Mr. Noni, leo utamcheka lakini dunia ndiko inakoelekea. Kuvizia watu watoke kisimani au kuvizia waimba kwaya sidhani kama ina TIJA.
 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa walimu ni wavumilivu, wasikivu na watii hata serikali ya Ccm inawajuwa.
 
Dunia hii kijana unaweza kujihisi ni mwanaume wa kweli kumbe huna lolote, ni wanawake peke yake ndio wanaowajuwa wanaume wa kweli. Take it as ur home work.

Sio kweli mzee... im a men and i knw it... nshaprove that in more than hundren ways. I knw im a men kama huna uhakika na uanamume wako mpaka wanawake waje wakwambia then ur nothing than coward
 
Back
Top Bottom