Mwanamke shepu bibi weweeee

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078

Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani
 
Loh hilo shepu maradhi?...kheir mie nlonyimwa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Maradhi gani bibie? wowowo lote hilo limepaliliwa na vyakula laini laini jamii ya fat
 
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani
Mzigo unahamasisha ile mbaya. Watu wanafaidi Jamani!!!
 
hili shepu hapana,hata bure sichukui,nani anataka kuwa celebriti,kisa shepu la kichina la mamsapu
 
Back
Top Bottom