Mwanamke shepu bibi weweeee

Mwanamke shepu bibi weweeee

Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani

usiogope ukubwa wa samaki, ulizia bei!
 
Hakuna hiyo kitu...lazima parameters zi balance
 
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani

duh kuna shepu za kuvutia na kusifia lakini si hiyo hapo juu, maana tena inakuwa kama ullemavu vile! tena ingekuwa mie niko hivi basi ningetafuta skirt au gauni pana chini lishuke hadi miguuni kuliko kuvaa nguo ya aina hiyo, kwa upande wangu si wivu wala nini naona hakuna shepu hapo ni maradhi tu hata hainivutii... jamani si kila kilkichovimbiana chini ya mgongo kwa nyuma yhanapoishi makalio ukadhani ni sehemu ya makalio mengine ni mauvimbe tu ya maradhi kama cancer (tumor)
 
vijana bwana utasikia, dada yule ana macho mazuri!
utadhani macho ndo yanayoliwa!
 
huyu shosti akikaa anaweza kuanguka kwa kukosa balance. Hips hajajaaliwa hata! Mchina ana makusudi kama mwafulani.

Weye inaonekana una Sony wega flat screen inch 26? Angalau pigapiga mchina ntu apate nyama za kushika bana
 
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani

Huyo hata kuongozana naye kitaa aibu tupu maana watoto wa mjini lazima wamzomee MCHINA HUYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Hahaha huyu unamtanguliza mbele wewe unamfuata kwa nyuma kama beberu
 
Back
Top Bottom