wapo wake za watu mashangingi wengi tu Smile,hasa kwenye haya majiji kama Arusha,Dar na Mwanza...wengine huanza wakiwa wake za watu tayari,na kama ndoa ndo zile za kikristo,au yeye ndo mleta chakula mezani,mlipa ada,mwenye pango ni wanaume wachache wenye guts za kuwaacha...ukizingatia siku hizi wanaume wanaolelewa ni wengi,ndoa za mashangingi zitadumu na kuongezeka.
hili naona sio shangingi bali ni ngingi ujue iko tofauti ya shangingi na ngingi
is that the best contribution from you??????
shangingi ina maaana nyingi hata kitendo cha kumtafutia mtu bwana ni ushangingi pia so wako wa ivo sio malaya ila kazi yao kutafutia wake za watu mabwana na kuuuza wasichana mitaani kwa mapedesheewaoambao sio malaya but still wanaitwa 'mashangingi'....
hapo vipi?
nilijua hii italeta utata kidogo,mpenzi wangu sio kila aendaye china dubai ni shangingi,na wala sio mashangingi wote wanafanya hizi biashara,wengine wamejichimbia masalon wengine hawafanyi lolote ila sio wote wafanyao salon ni shangingi.Duh kama hii ni moja ya sifa za mwanamke shangingi, hakika mashangingi yamejaa tele mitaani. Kuanzia uswahilini Matola hadi uzunguni Kilimani!!
shangingi bado ni wakawaida tu ila ngingi kakubuhu kabisa yani yani kama ni viwango vya elimu shangingi ni master na ngingi ni PROFESSORwewe aminata wewe..lol
hebu weka hizo tofauti hapa..lol
nilijua hii italeta utata kidogo,mpenzi wangu sio kila aendaye china dubai ni shangingi,na wala sio mashangingi wote wanafanya hizi biashara,wengine wamejichimbia masalon wengine hawafanyi lolote ila sio wote wafanyao salon ni shangingi.
am i a hater?
why? hating who????
huyu sio shangingi bali ni ngingi mana kakubuhuKwa vile bado kijana au?
Hapo unakosea sasa nimekufuatilia toka mwanzo, hivi shangingi la uswazi linaweza miliki migold mikubwa kubwa? au linaweza badili viwalo kila baada ya masaa kadhaa?
ok
evolved?
how?
amini usiamin mpendwa wangu,hakuna wanawake wanapenda na wenye magold kama wanawake wakiswahili,kuna una ndugu maeneo ya magomen hivi n alike mwambie akualike siku moja kwenye harusi za uswahili ndo utaona magold yanavyovaliwa,wanawake wa uswahili status yao iko kwenye kuvaa magold.
waoambao sio malaya but still wanaitwa 'mashangingi'....
hapo vipi?
amini usiamin mpendwa wangu,hakuna wanawake wanapenda na wenye magold kama wanawake wakiswahili,kuna una ndugu maeneo ya magomen hivi n alike mwambie akualike siku moja kwenye harusi za uswahili ndo utaona magold yanavyovaliwa,wanawake wa uswahili status yao iko kwenye kuvaa magold.
Hapo ndio linapotumika umbo na kumuangalia mtu kwa nje tu bila kumfahamu kidogo.....
Wamama/dada wenye miili mikubwa na swagga flani hivi za kama ambazo amezielezea Aminata hapo juu wanaangukia kwenye kundi la ushangingi, japo ukweli ushangingi ni tabia hizo nilizozisema ndio maana sometimes hata binti mwenye umbo dogo anaweza itwa "kashangingi tu"
dont you find it funny that
most big women are referred as mashangingi????? even the decent ones???