Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
- Thread starter
- #21
DuhBujibuji anafanya kazi gani jamani?
DuhBujibuji anafanya kazi gani jamani?
Uli ohale u bhebheMbiti yachululuka ha shigulu =Fisi kateleza kilimani 😂😂
Karibu sana PMBujibuji anafanya kazi gani jamani?
Pully scaniaMmeshaanza kumtamani kibibi cha watu ?
Nafumelile Bunamhala ya Ntuzu, kinehe u bebe wafumela chalo chahe bahebu?Uli ohale u bhebhe
Ng'wanza, Nyambitilwa MaguNafumelile Bunamhala ya Ntuzu, kinehe u bebe wafumela chalo chahe bahebu?
Tusitishane bwashee mie natoka Gambushi hao wafipa ni chakula changu dadeki, huyo mfipa lazima aachie ngazi kwa bibi 😂Mume wake anatoka Sumbawanga; unamuweza?
Yu ghashi uli nzeganwa, tuliho lulu ntuzuNg'wanza, Nyambitilwa Magu
We mdada usijipeleke kwa huyo msukuma na vinyege vyako, hajaribiwi utagongwa na umasai wako dadekiBujibuji anafanya kazi gani jamani?
Anakatisha ticket mbeya stand kuuBujibuji anafanya kazi gani jamani?
Schrödinger's equation. Imenikumbusha mbali sana wakati nipo form six Songea boys mwaka 1971Kwa speed ya ndege hivo vitu ni negligible mkuu.
Anakatisha ticket mbeya stand kuu
Huna dabu bintiWanaume wote ni umbwa tu
Hah hah haaaTusitishane bwashee mie natoka Gambushi hao wafipa ni chakula changu dadeki, huyo mfipa lazima aachie ngazi kwa bibi 😂