Mwanamke rubani atimiza miaka mia moja

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,726
2,000
1612250533006.png
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,862
2,000
When you are flying, zile miaka za angani, by principles of relativity na second & third law of thermodynamic, huwa zinastop ama zinamove anticlockwise ama zinaakselereti (serereka?!); so, hapo akihesabiwa miaka yake ambayo actually amekuwepo duniani, tofauti na fying hours angani, anakuwa a lady of just 40 ama 50 years. (Schrödinger's Wave equation & Uncertainty Principle vinahusika pia, kwa wale ambapo wangependa kufanya calculations).
 
MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
7,041
2,000
Hongera msomi

Huku bongo bado wanadanga bibi wakisoma human resources au diplomasia

Halafu wikiendi wanaenda kidimbwi
 
Nibiru

Senior Member
Jan 10, 2021
159
250
When you are flying, zile miaka za angani, by principles of relativity na second & third law of thermodynamic, huwa zinastop ama zinamove anticlockwise ama zinaakselereti (serereka?!); so, hapo akihesabiwa miaka yake ambayo actually amekuwepo duniani, tofauti na fying hours angani, anakuwa a lady of just 40 ama 50 years. (Schrödinger's Wave equation & Uncertainty Principle vinahusika pia, kwa wale ambapo wangependa kufanya calculations).
Kwa speed ya ndege hivo vitu ni negligible mkuu.
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,605
2,000
When you are flying, zile miaka za angani, by principles of relativity na second & third law of thermodynamic, huwa zinastop ama zinamove anticlockwise ama zinaakselereti (serereka?!); so, hapo akihesabiwa miaka yake ambayo actually amekuwepo duniani, tofauti na fying hours angani, anakuwa a lady of just 40 ama 50 years. (Schrödinger's Wave equation & Uncertainty Principle vinahusika pia, kwa wale ambapo wangependa kufanya calculations).
Hii theory amewahi kuisema kimafumbo mzee wa E = mc^2
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom