Mwanamke njoo umsikilize kungi hapa

mourisous

JF-Expert Member
Jan 19, 2016
443
269
JINSI YA KUSAFISHA MATAKO NA KUYAFANYA YAWE LAINI NA YENYE MVUTO KWA VITU VYA ASILIA


Sote tunafahamu kuwa ngozi ya matako sio sawa na ile ya sehemu nyingine ya mwili, maeneo haya hukabiliwa na vipele Fulani hivi vigumu sana , baadhi hupauka sana na wengi hukabiliwa na michirizi strechmark.


Hakikisha kuwa unasugua sehemu hiyo ya matako yako kwa kutumia machicha ya nazi au unga wa mmea wa liwa kusugua maeneo hayo, fanya hivyo mara moja kwa wiki kama unamudu na una senti za kununua nazi na liwa basi unaweza fanya hivyo kila siku,ila mara moja kwa wiki inatosha kabisa kukupa ulaini wa sehemu hizo na kuondoa mpauko na vipele sugu mwalii
Njia nyingine kwa wewe mwenye ngozi ya mafuta ni kujisugua sehemu hizo kwa kutumia pumba za maindi au unga wa dona mahindi yaliyosagwa bila kukobolewa/ondolewa ngozi inasadia sana kulainisha ngozi unaweka maji kidogo kisha unajisinga nao ….(kujisuguwa)

Vilevile hakikisha jamaa anamwaga kwenye makalio yako wakati wa ngono sio kila siku ndani tu au kwenye kondom kwani manii huboresha ngozi ukipaka kama mafuta/lotion ikiwa Jamaa lako choyo na shahawa zake basi wewe kula mboga za majani na kunywa maji kwa wingi na wakati huohuo unayasugua hivyo vipele au visugu ....

Hakikisha unasafisha na maji mengi na unamalizia kupaka mafuta au lotion kila unapomaliza kuoga au kusugua makalio yako.

usafi wa makalio sio kwenye hivyo vipele vya mwisho wa makalio na ukavu tu bali kuna vile vinywele hujiotea kwenye mstari wa “ikweta” kuelekea au kuzunguuka sehemu ya kutolea mkunduni, wengi ambao hawashukiwi chumvini au hawabong’oi hawafanyi staily ya mbuzi kagoma nasikia huwa hawajali ama hawajui kabisa kuwa wana nywele huko…mkunduni mwaliiau wengine wanajuwa lakini wanavipotezea……oooohoo...huruhusiwi kucheka wala kushangaa hapo mwalii

Mwanamke, hata kama hupendi binuka harufu itasikika, huenda wewe huisikii kwa vile umezoea mwalii lakini mpenzi wako atavuta harufu hiyo yenye utata (mchanganyiko wa jasho, ute na mavi) hivyo hakikisha huto tunywele tunaondolewa kila tunapojitokeza hata kama wewe ni mtu wa kifo cha memde tu mwali vitowe hivyo vinywele...




je wewe huwa unayapendezeshaje yako???????
 
Mwanzo wa kuliwa jicho huu....

Vilevile hakikisha jamaa anamwaga kwenye makalio yako wakati wa ngono sio kila siku ndani tu au kwenye kondom kwani manii huboresha ngozi ukipaka kama mafuta/lotion ikiwa Jamaa lako choyo na shahawa zake basi wewe kula mboga za majani na kunywa maji kwa wingi na wakati huohuo unayasugua hivyo vipele au visugu ....

Shauri zenu.....
 
Oooh! sory,nimeishia hapo mstari wa kwanza! wahusika watakuja kumalizia...
 
Back
Top Bottom