Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sithubutu hata siku moja, Mimi sio chawote.Daahh ujumbe huu akiuona Wema Sepenga atakutafuta haraka sana ili anase mimba,ila kwa Sepenga tumia pira usije ukanasa Songas
Sent using Jamii Forums mobile app
Lea na utulie na huyo mzazi mwenzako
kama ya Calisah
Piemu wamekuja wangapi adi sa ivi ?
Pitia tena huo Uzi utaelewa vizuri.Piemu wamekuja wangapi adi sa ivi ?