Na ndiyo maana unaona unakuwekea kiwingu na safar yako! ! !nilikua nampenda sana but upendo unayeyuka kila siku
nilikataa matus mkuu kama Huna ushauri unakaa kimia kwan kusaliti ni mm wa kwanza ata ulie nae ana kusaliti chunguzamm kwa kwel sina cha kukushauri maana ningekutunana tena ningekutuna hiv
"mpumbavu sana huna hakiri unawezaje kutoka na mwanamke mwingine halafu mahusiano yako ukamweleza mke wako wa ndoa mjinga sana ww taila mkubwa"
ila kwa kuwa umesema kama sina ushaur nisitukane nakaa kimya byeee!
Hapa ndo kuna issueNenda nae hadi Mbeya umuache hotelini
ukacheze na mwanao mrudi wote
hofu yake ni mama wa mwanao
na sio mwanao
Yaah manAcha kuogopa mkwara wa mke, mfate mwanao kama akiweza akungoje akashindwa afunge safari, pia kama humpendi mwache tu kuliko kuishi kwa kujiforce kumpenda mtu utakuja kupasuka moyo uzeeke kabla ya wakati kisa Mali
umejuaje mkuu kipindi flan mawazo yalonizidi nikawa ni mtu wa tungi sana siku moja niliuzika sana nikawa napiga konyagi na dragon energy ilifika usiku mapigo ya moyo yalizidi kuwahi hospital pressure ilikuwa juu 180/90 ila nashukuru nilipata nafuu siku hizi nimeacha kabisa pombeAcha kuogopa mkwara wa mke, mfate mwanao kama akiweza akungoje akashindwa afunge safari, pia kama humpendi mwache tu kuliko kuishi kwa kujiforce kumpenda mtu utakuja kupasuka moyo uzeeke kabla ya wakati kisa Mali
mwanamke si ndugu,nenda kamwone mwanao,akileta zake timuaaaaaWiki ya pasaka nina likizo na nilikua nimepanga nisafiri mbeya kwenda kumwona mtoto niliezaa na mwanamke mwingine.
Kwani kipindi naishi na huyu nilie nae tulikaa Muda bila kupata mtoto nilitoka nje ya mkoa nikiwa mbeya nilifanikiwa kumpa huyu binti ujauzito tukianya mengi bc tuu tuyaache mtoto kazaliwa nikalea nilipo mueleza huyu binti nina mtoto ilikua ugomvi si wa kitoto alidiriki kumwita mbwa aliapa hataki kumwona wala kumsikia iliniuma sana. sijawahi enda mpaka leo
Sasa jana nimemgusia kwenye likizo ya easter naenda mbeya imetokea ugomvi adi kunilaani nikienda sitofika imeniuma kwa nn hataki nikamwone mwanangu nimewaza ikiwezekana nimfukuze tuu maana miaka mi4 hana mtoto mm naumia nikiwaza mfukuza nina miradi, viwanja, duka, si itakuwa kugawana? nifanyeje next weak niende mbeya kumwona mtoto huku kashanitishia?
Ushauri naomba kama Huna ushauri ukae kimia usilete matusi nipo seriaz... plzzzz