Mwanamke ninayeishi nae hataki nikamwone mwanangu

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Wiki ya pasaka nina likizo na nilikua nimepanga nisafiri mbeya kwenda kumwona mtoto niliezaa na mwanamke mwingine.

Kwani kipindi naishi na huyu nilie nae tulikaa Muda bila kupata mtoto nilitoka nje ya mkoa nikiwa mbeya nilifanikiwa kumpa huyu binti ujauzito tukianya mengi bc tuu tuyaache mtoto kazaliwa nikalea nilipo mueleza huyu binti nina mtoto ilikua ugomvi si wa kitoto alidiriki kumwita mbwa aliapa hataki kumwona wala kumsikia iliniuma sana. sijawahi enda mpaka leo

Sasa jana nimemgusia kwenye likizo ya easter naenda mbeya imetokea ugomvi adi kunilaani nikienda sitofika imeniuma kwa nn hataki nikamwone mwanangu nimewaza ikiwezekana nimfukuze tuu maana miaka mi4 hana mtoto mm naumia nikiwaza mfukuza nina miradi, viwanja, duka, si itakuwa kugawana? nifanyeje next weak niende mbeya kumwona mtoto huku kashanitishia?

Ushauri naomba kama Huna ushauri ukae kimia usilete matusi nipo seriaz... plzzzz
 
Kuna wakati unafika yakupasa ufanye maamuzi yale ya kiume kuonyesha nani Kichwa cha nyumba nani msaidizi..
 
wiki ya pasaka nina likizo na nilikua nimepanga nisafiri mbeya kwenda kumwona mtoto niliezaa na mwanamke mwingine.

kwani kipindi naishi na huyu nilie nae tulikaa Muda bila kupata mtoto nilitoka nje ya mkoa nikiwa mbeya nilifanikiwa kumpa huyu binti ujauzito tukianya mengi bc tuu tuyaache mtoto kazaliwa nikalea nilipo mueleza huyu binti nina mtoto ilikua ugomvi si wa kitoto alidiriki kumwita mbwa aliapa hataki kumwona wala kumsikia iliniuma sana. sijawahi enda mpaka leo

sasa jana nimemgusia kwenye likizo ya easter naenda mbeya imetokea ugomvi adi kunilaani nikienda sitofika imeniuma kwa nn hataki nikamwone mwanangu nimewaza ikiwezekana nimfukuze tuu maana miaka mi4 hana mtoto mm naumia nikiwaza mfukuza nina miradi, viwanja, duka, si itakuwa kugawana? nifanyeje next weak niende mbeya kumwona mtoto huku kashanitishia?

ushauri naomba kama Huna ushauri ukae kimia usilete matusi nipo seriaz... plzzzz
Agrrrr,agriuiii, go go kamuone Toto fasta,
 
Yaan ww una visa kila siku

Ila kwakua ni mambo yanayogusa maisha ya watu si lazma iwe ww bas fanya hv

Kwanza lazma ata mchukia huyo mtoto ukizngatia hana mtoto.yaan baba jiandae kuish na hyo hasira yake kwa miaka kama kumi hv baadae ata acha mwenyewe.
Kuna mwingne huchukia hata watoto wa ndg zenu wakija hapo nyumbani.yaan kisirani tu

Hvyo fanya maamuzi ya kiume,nenda mbeya na utafika tu salama.atanuna ata cheka mwenyewe
 
Kabla sijakushaur je unampenda?
 
mkuu kwenye mahusiano Kuna mambo mengi sana usione wanaume wanashinda bar kula tungi samtime ni stress mkuu kuishi na hawa viumbe inahtaj akili sana kua uyaone mkuu ishi na mwanamke ndan utajua tuu unaeza kuwa na Elim, Mali, pesa, ila mapenz yakakutesa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom