Mwanamke niliyemuamini sana ameniangusha

Mwanamke niliyemuamini sana ameniangusha

Usilolijua ni Usiku wa Giza. Kaa kwa kutulia na usaidie familia kama unaweza, kama huwezi piga kimya kaa kushoto cheki series itaishaje.

Dunia ina 'Mambo' mazito Sheikh!
Wallah shekh wangu tumuangalia Allah na miongozo yake
 
Unajuta kumuacha?

Huwa sishabikii watu kuachana lkn ukishaanza kuwaza kisasi, its better to let go.
Binafsi nadhani nisingemfuatlia labda japo yeye alivuka mipaka so kurudiana nae its not good decision
 
Jiulize huyo mmewe amemfanyaje hadi kaenda kutafuta faraja nje. Wakati mwingine wanaume ndio chanzo cha wao kufanya hivyo.
Iyo kauli ndio niliambiwa na x wife angu et nilipofulua sikua na mda nae ndo mana akatafta faraja nje..... Mazafaka
Yaani iyo kauli ya faraja kwangu ni kama tusi
 
Tumsifu, asalaam aleykum

Naandika hata nikiwa na mabubujiko ya machozi moyoni yaani role model wa maisha yangu kwa mke niliyemtarajia naye ameniangusha jamaniiii. Dahhh hii dunia sio fair kabisa sijui who to trust I think only God.

Ni hivi kuna sister mmoja ambaye hatujawahi skia skendo zake since she was a little girl jamaa akamfukuzia japo alichezea sana kipigo, mahabusu na matusi mengi toka kwa mzazi wa binti lakini wapi.

Kifupi binti ashajaribu hadi kunywa sumu kumtisha mzazi wake asimtese au jaribu lolote la kuwaachanisha kifupi walikolezana kinomaaa.

Huyo jamaa ndo alikua first man wake kumtoa usichana ndo ivo mpaka sasa wana watoto wengi tuu sema mwanamke chombo bado kimesimama.

Bwana bwana yule mwanamke ni role model kwenye jamii yetu kama mwanamke mvumilivu na mwenye mapenzi ya kweli akiaminika hajawahi kua na mahusiano zaidi ya mumewe yangu azaliwe na wengi tulimtolea mfano kwa mademu zetu na wake zetu.

Sema sasa nilichokiona mimi leo wallah naapa sitomuamini mwanamke yeyote mwenye cheo chochote umri wowote na eti watoto wengi hapana hapana all weman ni ma kabichi yaani tuoe tuu kwakua ni MILA NA DESTURI ila wa pekeako hakunaaa

Yaani namshuhudia anaingia lodge na mwanaume mwingine nyumbani kaacha mtoto anaumwa umri wa mwaka mmoja?

Hata huyuuuu?
Pole sana mkuu hata Adam aliangushwa na Eva yaani 😡
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom