mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 623
- 430
Huyo alikuwa na tatizo ambalo wewe hukuweza kugundua mzizi wake.
Nchi za watu, mtu wa aina hiyo unakwenda nae kwa madaktari wataalamu wa saikolojia, ambao wangeweza kuwasaidia kupata ufumbuzi.
Si kila anaefanya ukorofi ni kuwa ana hamu ya kupigwa, yaweza kuwa hajui namna ya ku control "stress" zake, na hivyo kujikuta hatulii mpaka akiishiwa nguvu baada ya kupigwa
umeongea point. sasa huku kwetu tunafanyeje?