Habdavi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 724
- 621
kuna siku nilikuwa kwenye health care centre moja hapa jijini, nikashuhudia Range rover sport, ya dark green, huku shemeji mtu akiendesha. Na siti ya nyuma alikaa dada mmoja mrembo, lakini cha kusikitisha, dada alichezea 'kichapo cha ukweli' mpaka hata kushuka kwenye gari, ilibidi ashushwe huku wheel chair ikimsubiri. Nikasema kuna wanaume hawana chembe ya 'aibu' anapoamua kumshushia radi ya makofi kwa kiumbe hiki? Sikufurahishwa kwa kweli.