Mwanamke ni lazima apigwe na mume, “lau kidogo”…………..!

Heeeeeh!!!! Basi inabidi uwe na utii mkubwa sana.

Ni kweli kupiga siyo issue wala muafaka wa matatizo, zipo njia nyingi mbadala za kusuluhisha ikiwemo kuachana ikibidi.

Mimi mama yangu kamwe hajawahi kupigwa na mimi nimelelewa hadi umri huu sijawahi kupigwa na naamini sio kwa sababu nilikuwa mtii sana.

Njia za kumrekebisha mtu mzima mwenye akili na ufahamu zipo nyingi sana, na kupiga si moja wapo. Kupigwa haivumiliki hata kidogo
 
Mimi nilioa nikiwa kijana sana at 26 na wife alikuwa 21, tulikutana chuoni, baada tuu ya kumaliza ni ndoa!. Changamoto za ujana zilipelekea wife kupokea kisago!, that was then!.

Hawa wanawake wa kisasa "easy come easy go", ndio wanaokosa uvumilivu na kupelekea ndoa za siku hizi kuvunjika kirahisi, kosa dogo tuu, mama ana fungasha!. Familia nyingi za kiafrikla za kizamani, mama zetu wamechezea sana vichapo na ndio zimesimama!.

Hata mimi siku hizi tumekuwa watu wazima, sithubutu hata kunyanyulia mkono!.

Pasco.

ndoa haisimami kwa sababu ya kichapo
 
Najaribu kuwaza, hivi anawezaje kweli kunyanyua mkono wake na kunipiga??!!!.......Nikikosea ananielewesha, nami ni binadamu nakiri nilikosea, maisha yanaendelea.

Pombe nayo inachangia sana watu kupigwa hovyo....!! Mtu akilewa, akili hazifanyi kazi, mwanamke anaweza kumjibu mumewe vibaya akapelekea kuchapwa. Mwanaume akilewa, kumchapa mkewe anaona sifa!...!!
 
kuna kundi la wengine hawajawahi kusikia hata hiyo chagulaga

siku mwanamme akinipiga ndo siku ya mwisho kwake kugusa ngozi yangu...ever

gozi atashika tena baada ya mda mfupi tu baada ya kukudunda. Anachotakiwa kukifanya ni kupiga bila kusababisha madhara, mkitoka hapo tena utampa ushirikiano wa kufa mtu
 
gozi atashika tena baada ya mda mfupi tu baada ya kukudunda. Anachotakiwa kukifanya ni kupiga bila kusababisha madhara, mkitoka hapo tena utampa ushirikiano wa kufa mtu

Si rahisi kihivyo. Akinipiga tayari keshasababisha madhara. Kama si ya kiwiliwili basi ni ya kiakili [kisaikolojia]

Kuishi na mwanamme anaethubutu kunipiga sitaweza kamwe, hata kama hakuacha kovu mwilini, akilini itakuwepo
 
unyanyue tu jikono lako unipige? Loh!!!!!!! Walaaaaahiiiii kama sijakuchana wewe chochote kitakachokuwepo karibu yangu kitakuhusu!!!!!!!!!

Ila sometimes wanawake nao wanayataka haya mambo, mkiwa boyfrind na girlfriend jitu linakupiga unavumilia ati atabadilika? Thubutuuuuuuuu akikuoa atakudunda mpaka ukimbie na chu*i...!!!!!! Mwanaume abusive namna hii anaonekana toka mwanzo, lakini sijui ndo kutaka kuolewa au nini wanakubaliana tu na mazagazaga ya ajabu........................
:a s 13:

jana kuna taarifa ambazo sijazithibitisha huko pasiansi, mwanamke kauwawa na hawara wake. Ilikuwa hivi, huyo mwanamke umri kati 20-25, alikuwa na mme wake na wamezaa mtoto mmoja; lakini mme wake ni mtu wa kusaka shekeli, hivyo hutumia mda mwigi kuwa mbali kidogo na familia yake. Ndipo mwanamke huyo kaamua kutafuta sub ya wanaume wengine wawili, na wote huwadanganya yeye bado single na hajazaa. Sasa jana, wezi wote wakafuamaniana, kilichofuata ni kipondo kwa mwanamke hadi akapoteza uhai na kuacha mme wa ukweli na mtoto mmoja. Mme wake alipigiwa simu kutarifiwa kifo cha mke wake, hajaambiwa kafariki vipi.....
 
si rahisi kihivyo. Akinipiga tayari keshasababisha madhara. Kama si ya kiwiliwili basi ni ya kiakili [kisaikolojia]

kuishi na mwanamme anaethubutu kunipiga sitaweza kamwe, hata kama hakuacha kovu mwilini, akilini itakuwepo

labda kama umeapa kuwa hivyo. Mbona kila siku wanapigwa tena ndo ndoa inakuwa safi? Yawezekana umri wako bado unakudanganya, ukiingia field utayaona best
 
jana kuna taarifa ambazo sijazithibitisha huko pasiansi, mwanamke kauwawa na hawara wake. Ilikuwa hivi, huyo mwanamke umri kati 20-25, alikuwa na mme wake na wamezaa mtoto mmoja; lakini mme wake ni mtu wa kusaka shekeli, hivyo hutumia mda mwigi kuwa mbali kidogo na familia yake. Ndipo mwanamke huyo kaamua kutafuta sub ya wanaume wengine wawili, na wote huwadanganya yeye bado single na hajazaa. Sasa jana, wezi wote wakafuamaniana, kilichofuata ni kipondo kwa mwanamke hadi akapoteza uhai na kuacha mme wa ukweli na mtoto mmoja. Mme wake alipigiwa simu kutarifiwa kifo cha mke wake, hajaambiwa kafariki vipi.....

kwa hiyo unajaribu kusema nini hapa?
 
Mwanaume anyanyuaye mkono kumpiga mkewe ni mjinga.

Kama una miguvu yako nyanyua mkono upigane na mwanaume mwenzio. Ukipukuchuliwa meno uje bado hujaiva kuwa bondia.

Mke hupigwa kwa maneno kisha tenge la wax bana.

MWANAMKE NI SAWA NA MTOTO, ANALELEWA KAMA MTOTO. AKIKOSEA KICHAPO KIDOGO KINAMKUMBUSHA MAJUKUM YAKE KAMA MAMA.

SOMA HII
What exactly is the rod mentioned in Proverbs
Jul 2, 2005 ... "The rod in the Bible is a reed-like stick. Proverbs 23:13-14 does in fact promote
physical discipline. 'Don't fail to correct your children.
What exactly is the rod mentioned in Proverbs - 66k - Similar pages
 
kwa hiyo unajaribu kusema nini hapa?

Some time if you do it in unsafe way, can cause much problem mkuu. Kichapo kinachotakiwa ni kile ambacho hakitaacha madhara.

lakini pia, nilitaka kusisitiza kuwa kuna kipindi wanawake wanavitaka vipondo. wewe umeolewa, halafu unatafuta wanaume wengine, wote unawadanganya kuwa hujaolewa na wala hujazaa, mwisho wa siku unawagonganisha, hasira watakazo kuwa nazo kwa kudanganywa, yaweza kupelekea kichapo. hivyo ni just kuwa fair katika matendo yetu, tukifanya hivyo itazuia vipondo na mengine yaambatanayo
 
Mimi nilioa nikiwa kijana sana at 26 na wife alikuwa 21, tulikutana chuoni, baada tuu ya kumaliza ni ndoa!. Changamoto za ujana zilipelekea wife kupokea kisago!, that was then!.

Kuna wanawake wanafanya visa ambavyo unajua wazi anatamani kula kichapo!.

Pia kuna kuna wanawake wa maeneo fulani, asipopigwa, anajiona hapendwi!. Hivyo atakufanyia visa ili kukupima wivu, akigundua humuonei wivu, ananyong'onyea, kwake mapenzi ni pamoja na kisago
.

Ila pia kuna type ya wanawanawake wana matatizo ya kisaokolijia yanayoitwa "masochisim", wahusika wanaitwa "macho men" "macho women" hawa ni wale mnaokubaliana, mnakwenda mnapokwenda, mnaingia room, unafunga mlango, halafu anakukatalia, mpaka amlazimishe ndipo nguo zinavuliwa ili tuu kuzuia sizichanike, baada ya hapo miguu hufungwa!, mpaka utembeze kisago kama unabaka ndipo unafunguliwa njia!. Kumbe hizo fujo kwa mwenzako ndio anapata gratification!. Ndio maana kuna watu hutaka wapigwe, wafungwe pingu, wateswe, wabake ndipo wafike na ndio maana kuna wengine hung'ata hata kukutoa damu!.

Hawa wanawake wa kisasa "easy come easy go", ndio wanaokosa uvumilivu na kupelekea ndoa za siku hizi kuvunjika kirahisi, kosa dogo tuu, mama ana fungasha!. Familia nyingi za kiafrikla za kizamani, mama zetu wamechezea sana vichapo na ndio zimesimama!.

Hata mimi siku hizi tumekuwa watu wazima, sithubutu hata kunyanyulia mkono!.

Pasco.

PASCO hapo umenena! Naamini masahibu yako ni sawa na yangu. Mimi niliapa kwamba sitakaa ninyanyue mkono kumpiga mwanamke maana nikikudunda nakudunda si mchezo! Nilipooa mke wangu aliijua hii nadhiri yangu heee! jamani siku hiyo nimesimamiwa natukanwa, nasondwa vidole! eti ananipa suruale imechanika ndio niende nayo kanisani! Kwa sababu mimi nilitaka awe huru simuulizi muda wa kurudi nyumbani sasa yeye ndiye akaanza kunipangia muda wa kurudi nyumbani! nilimuuangalia juu hadi chini! kwa sababu sikutaka kuvunja nadhiri yangu nikamwambia fungasha uondoke! LEO HII NIMEAMINI WANAWAKE WENGI NI WAPUMBAVU! (kasoro mamayangu R.I.P huko uliko na bibi yangu). KAMA UMEOLEWA NA MWANAUME ANATAKA AMANI WEWE FUJO ZA NINI? mwanamke akipigwa anaonewa, akipendwa mume wangu ni sakala! Nina hakika nyie wote mnaodai mimi sitaki kuguswa lazima niwachokozi! WANAWAKE ASILI YAO NI MAGOMVI na FUJO! wanawake hawawezi kukaa mwezi hawajagombana lakini wanaume wanakaa hata miaka kumi!

Ndo maana Liyumba aliwapiga sana na madude mekundu. Chezeya kupigwa na gari wewe......:violin:

unakataa kupigwa na mme wako, unapigwa na FATAKI tena pigo la aibu na kuachiwa nembo ya....... na gari jekundu

world-aids-day.jpg
 
Nina hakika nyie wote mnaodai mimi sitaki kuguswa lazima niwachokozi! WANAWAKE ASILI YAO NI MAGOMVI na FUJO! wanawake hawawezi kukaa mwezi hawajagombana lakini wanaume wanakaa hata miaka kumi!

Mwanamke ana asili ya ugomvi na fujo kwa mujibu wa utafiti/maandiko gani?
 
Najaribu kuwaza, hivi anawezaje kweli kunyanyua mkono wake na kunipiga??!!!.......Nikikosea ananielewesha, nami ni binadamu nakiri nilikosea, maisha yanaendelea.

Pombe nayo inachangia sana watu kupigwa hovyo....!! Mtu akilewa, akili hazifanyi kazi, mwanamke anaweza kumjibu mumewe vibaya akapelekea kuchapwa. Mwanaume akilewa, kumchapa mkewe anaona sifa!...!!

LABDA MIMI ndiye sielewi! inakuwaje wanawake wote mnadai hamtaki kupigwa! kwa nini wangu alikuwa anataka nimpige? yaani nisipompiga anaweza tukana hadi asubuhi! au nilioa kichaa? eti nimemfukuza ameanza kutuma mtoto ili nimrudishe! kwani wakati anataka kupigwa hakujua nyumba yenye amani inatakiwaje?

PASCO hapo umenena! Naamini masahibu yako ni sawa na yangu. Mimi niliapa kwamba sitakaa ninyanyue mkono kumpiga mwanamke maana nikikudunda nakudunda si mchezo! Nilipooa mke wangu aliijua hii nadhiri yangu heee! jamani siku hiyo nimesimamiwa natukanwa, nasondwa vidole! eti ananipa suruale imechanika ndio niende nayo kanisani! Kwa sababu mimi nilitaka awe huru simuulizi muda wa kurudi nyumbani sasa yeye ndiye akaanza kunipangia muda wa kurudi nyumbani! nilimuuangalia juu hadi chini! kwa sababu sikutaka kuvunja nadhiri yangu nikamwambia fungasha uondoke! LEO HII NIMEAMINI WANAWAKE WENGI NI WAPUMBAVU! (kasoro mamayangu R.I.P huko uliko na bibi yangu). KAMA UMEOLEWA NA MWANAUME ANATAKA AMANI WEWE FUJO ZA NINI? mwanamke akipigwa anaonewa, akipendwa mume wangu ni sakala! Nina hakika nyie wote mnaodai mimi sitaki kuguswa lazima niwachokozi! WANAWAKE ASILI YAO NI MAGOMVI na FUJO! wanawake hawawezi kukaa mwezi hawajagombana lakini wanaume wanakaa hata miaka kumi!

alifungasha virago akaondoka? na mlirudiana vipi.....
 
Mwanamke ana asili ya ugomvi na fujo kwa mujibu wa utafiti/maandiko gani?

kwani maandiko yanatokanaga na nini? si yanatokana na maisha ya kila siku? hoja yangu iko wazi, kama umeolewa na mwanaume anataka amani ndani ya nyumba, anataka furaha ndani ya nyumba - kwa nini wanawake mwanaume mpole mnamuonaga mjinga? sio kwa sababu mnapenda kupigwa? maana nyie bila magomvi hamuishi!

LABDA MIMI ndiye sielewi! inakuwaje wanawake wote mnadai hamtaki kupigwa! kwa nini wangu alikuwa anataka nimpige? yaani nisipompiga anaweza tukana hadi asubuhi! au nilioa kichaa? eti nimemfukuza ameanza kutuma mtoto ili nimrudishe! kwani wakati anataka kupigwa hakujua nyumba yenye amani inatakiwaje?

Huyo alikuwa na tatizo ambalo wewe hukuweza kugundua mzizi wake.

Nchi za watu, mtu wa aina hiyo unakwenda nae kwa madaktari wataalamu wa saikolojia, ambao wangeweza kuwasaidia kupata ufumbuzi.

Si kila anaefanya ukorofi ni kuwa ana hamu ya kupigwa, yaweza kuwa hajui namna ya ku control "stress" zake, na hivyo kujikuta hatulii mpaka akiishiwa nguvu baada ya kupigwa
 
alifungasha virago akaondoka? na mlirudiana vipi.....
Kurudiana? nilifukuza kabisa! sasa hivi ameanza kutuma mtoto eti anaongea kwa hekima ili turudiane! nimempa sharti kama anataka turudiane aolewe kwanza na mwanaume mwingine aishi nae miaka mitatu akiisha kujua tofauti zetu ndipo aje aniombe turudiane maana atakuwa amejua uzuri na ubaya wangu!
 
Back
Top Bottom