Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

Alafu wakikuona na mwanamke mwingine wanachukia ile mbaaya yaani!

Hizo zinatokea sana maofisini.
Kulikuwa na wawili ofisini kwetu, nika- match na mmoja. Kumtokea akadai bado ananichunguza! Nikamwambia wewe ni PCCB? Nikamwambia kama utani ukilala utanikosa.

Wakati huo ndiyo nilikuwa tunawindana na afande wangu. Tuka-close deals, mambo yakawa fresh kabisa. Wiki ilofata afande akanipitia ofisini na jezi zake, tukasepa zetu; wakabaki wanashangaa tu.

Kesho yake wakaanza kunilalamikia eti nimeamua kuwafunga midomo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndo vituko vya wadada maofisini halafu maskini wanakuja kujuta baadae wakichelewa kuolewa.

Anaweza kukununia hadi unashangaa wakati alijibalaguza mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu aanze kukusifia hivi na vile anahitaji ujuzi gani wa nyongeza kutongoza? Kukusifia kule si maana yake ameshakukubali anasubiri umwambie tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado, ndo maana nikakwambia rudi chimbo au darasani utafute mbinu uliyoiruka...

Raha ya hiyo mbinu uigundue mwenyewe na si uambiwe fanya hivii...

Wakija wanaume wenzio watakuuliza how old are you? Japo by mambo haijalishi umri ulionao.
 
Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu

Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia,

Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni.

Wadada wanaonyesha kuwa interested na wewe kimahaba kabisa kabisa. Wanaweza kuwa wawili watatu halafu baadae kuna kile kitu kinaitwa automatic nature selection mnajikuta mmegandana na mmoja kati ya hao na kila mtu anaanza kuwatilia mashaka na baadae hata kuwatania tania na hasa kama hamjaingia kwenye ndoa.

Mkiwa kwenye stori utasikia, wewe kaka mtulivu, mpole yaani najisikia raha kuwa na wewe. Uko smart, unajua kupangilia vitu vyako, tabasamu lako zuri, mwingine atasifia macho, mwingine kifua, mwingine nywele nakadhalika nakadhalika kifupi hawaishi kukusifia kila aina ya sifa. Kama umeoa utasikia yaani mkeo anaraha kweli kupata mume kama wewe. Kama hujaoa utasikia yaani utakaye muoa atakuwa na bahati kweli yaani. Stori za kukusifia zinakuwa nyingi hadi unahisi wanakujaza tu

Sasa stori inageuka unapojitosa kutaka majambozi! Yule yule aliyeongoza kukusifia ukimuomba game yeye ndo wa kwanza kukugeuzia kibao

utasikia, yaani siamini kama na wewe una mambo hayo! Ayaah! Kwani umeambiwa mimi sina hisia? Unavyonisifia hutaki kuvifaidi?

Utasikia yaani ulivyo hata hufananii kabisa na unayosema! Eboo! kwani anayefanania yukoje? Sifa ya mwanaume inakamilikaje bila kugegeda?

Mwingine utasikia yaani nilikuwa nakuheshimu kumbe na wewe ndo wale wale! Wale wale kina nani? Alah! Kwani kuna mwanaume anapenda kusifiwa tu bila kupewa tunda?

Mwingine utasikia, Mimi nakupenda tu hivyo ulivyo ila kwa mambo hayo sitaki kabisa, nakuheshima tena unikome. Jamani, kwanini lakini?

Hivi mnapowasifia wanaume halafu wakiwatongoza mnawageuzia kibao mnakuwa mnamaanisha nini? Mnawaza nini lakini?
Tumia bahati kijana. Ndio moja ya maringo ya wanawake.

mtu 1 umepewa majibu yote hayo 😂 nilikuwa nakuheshimu Sana kumbe na wewe una mambo hayo 😂bhasi bhn
 
Bado, ndo maana nikakwambia rudi chimbo au darasani utafute mbinu uliyoiruka...

Raha ya hiyo mbinu uigundue mwenyewe na si uambiwe fanya hivii...

Wakija wanaume wenzio watakuuliza how old are you? Japo by mambo haijalishi umri ulionao.
Hahahaha....ila wanawake mnatabu sana, yaani utakuta unahangaika kubembeleza, unajibebisha...yeye amekomaa kukataa tu... halafu ukifanikiwa mkaingia kwenye uwanja wa burudani....daaaah!!! Yaani nguo yake ya kwanza kuvaa ya mwisho kuvuliwa ishalowa kitamboo!!! Sasa unajiuliza, kama alikuwa na hamu kiasi hiki, kwanini anasumbua?

Ki ukweli tukianza kuwachenjia nyie ndo mtaumia, mtahangaika kufua hizo nguo wakati hata hamjafaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu anayetoa majibu hayo, Mara paap umefanikiwa kumvuta ndani....anavyokuvamia hata huwezi amini! Mtoto wa watu unakuta kashalowa tepetepe! Nyie viumbe nyie Mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂hapo na wewe unachakata ukimaliza unaanza kumshangaa na yeye kumbe anamambo hayo hadi kaloa🤷
 
Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu

Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia

Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni.

Wadada wanaonyesha kuwa interested na wewe kimahaba kabisa kabisa. Wanaweza kuwa wawili watatu halafu baadae kuna kile kitu kinaitwa automatic nature selection mnajikuta mmegandana na mmoja kati ya hao na kila mtu anaanza kuwatilia mashaka na baadae hata kuwatania tania na hasa kama hamjaingia kwenye ndoa.

Mkiwa kwenye stori utasikia, wewe kaka mtulivu, mpole yaani najisikia raha kuwa na wewe. Uko smart, unajua kupangilia vitu vyako, tabasamu lako zuri, mwingine atasifia macho, mwingine kifua, mwingine nywele nakadhalika nakadhalika kifupi hawaishi kukusifia kila aina ya sifa. Kama umeoa utasikia yaani mkeo anaraha kweli kupata mume kama wewe. Kama hujaoa utasikia yaani utakaye muoa atakuwa na bahati kweli yaani. Stori za kukusifia zinakuwa nyingi hadi unahisi wanakujaza tu

Sasa stori inageuka unapojitosa kutaka majambozi! Yule yule aliyeongoza kukusifia ukimuomba game yeye ndo wa kwanza kukugeuzia kibao

utasikia, yaani siamini kama na wewe una mambo hayo! Ayaah! Kwani umeambiwa mimi sina hisia? Unavyonisifia hutaki kuvifaidi?

Utasikia yaani ulivyo hata hufananii kabisa na unayosema! Eboo! kwani anayefanania yukoje? Sifa ya mwanaume inakamilikaje bila kugegeda?

Mwingine utasikia yaani nilikuwa nakuheshimu kumbe na wewe ndo wale wale! Wale wale kina nani? Alah! Kwani kuna mwanaume anapenda kusifiwa tu bila kupewa tunda?

Mwingine utasikia, Mimi nakupenda tu hivyo ulivyo ila kwa mambo hayo sitaki kabisa, nakuheshima tena unikome. Jamani, kwanini lakini?

Hivi mnapowasifia wanaume halafu wakiwatongoza mnawageuzia kibao mnakuwa mnamaanisha nini? Mnawaza nini lakini?
mkuu pole sanaa jipange kwa mwingine

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Waimbie kale ka wimbo ka ki lugha cha kwenu! mmoja mmoja akiduwaa tu, kula kitu. wa ingie kimasihara, yaani hapo sioni maajabu yao wewe ndiyo wa ajabu! tena sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom