Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Na kuanzia leo mtuite chombo au vyombo!
 
Nami nimegundua..waleee!...hakuna dini inayowadharau wanawake km waislam sijui kwann!
Dini zote na Mila zinamkandamiza mwanamke, tena bora hata huo uislamu umempa heshima mwanamke, labda na wewe useme uikristo umempa heshima ipi mwanamke?
Msiwe wepesi wa kushambulia imani za wengine kwa hisia zenu binafsi.
 
Linaweza kuwa litoto la mitaani, halina A wala B
 
Dini zote na Mila zinamkandamiza mwanamke, tena bora hata huo uislamu umempa heshima mwanamke, labda na wewe useme uikristo umempa heshima ipi mwanamke?
Msiwe wepesi wa kushambulia imani za wengine kwa hisia zenu binafsi.

Hatubishani kutafuta mshindi..naona uvivu kuandika ..ila najua hivyo!
 
Ni hapo usoni,alivyocheka na style ya nywele,halafu mie sio mnene mnene kama wa hapo kwa avatar 😅😅

Nguo nayo hapana,naonaga aibu eti kuvaa hivyo...sijui ndio ushamba huu 😂😂😂

🤣🤣🤣....pole...yes kila mtu ana swag zake...ni km mimi nisivyoweza vaa taiti na top...!
 
Hatubishani kutafuta mshindi..naona uvivu kuandika ..ila najua hivyo!
Hakuna mabishano ila wewe ndie umeyaleta, Ungejitetea kwa hoja zako na sio kushambulia imani za wengine,
Uislam na Uikristo kwa Tanzania ni ndugu sababu hakuna ukoo wa kiislam ukakosa waikristo na hakuna ukoo wa kiikristo ukakosa waislam sasa kutafuta bifu mtandaoni zisizo na tija ni unafki.
 
🤣unajielewa mwenyew akili zako mkuu lols
Mkuu huo ndiyo ukweli, Mimi huwa nataka zote zimwagikie ndani, sipendi mwanamke nimemaliza tu kumwaga halafu anaenda kunawa na kujifuta au zinamwagikia nje, hata mtu akitokea ghfla halafu anitoe sitoki mpaka nimwagie ndani
 
🙌🙌naona unatekelez mawaidha kuitetea dini yenu ipasavyo .all the best!
 
andiko hili linautweza utu wa mwanamke! Naomba lifutwe haraka iwezekanavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…