kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Nipo hapa pande za kurasini. Katika kupita pita nikasikia makelele makubwa sana. Wadada wenye age kati ya 28 mpaka 35 hivi wakiwa wanapigana mbele ya kadamnasi.
Sasa kilicho nishangaza mpaka nimechoka na kuanza kumuwaza mwanamke kwa ujumla wao ni hiki chanzo cha ugomvi wao.
Wote wawili ni wake za watu. Ugomvi wao ni kwa bwana wao ambaye kimsingi wote wawili siyo mume wao.
Wanaume, tuwe wavumilivu sana.