Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa napima uzuri wa mwanamke akiwa kwenye game halafu urembo kwa kumwangalia tu. Dada sweety umesema wewe ni mrembo, pia wewe ni mzuri?
 
Wewe una maneno mengi kama umemmeza Mbwiga wa Mbwiguke. Weka sura yako watu washindanishe Miss JF.

Eti Radhia, kwani hiyo avatar ya Lizzy sio sura yake yeye mwenyewe jinsi alivyo?
 
we ni wale wale hivi unaweza kujisifu mimi nina sura nzuri?
wazuri hata wasiposifiwa watu watawasifia!!!wabaya hata wakisifiwa moyoni wanajijua ni wabaya!....wewe upo kundi gani?na kusifiwa mzuri siyo na wazazi wako au mpenzi wako?usipanic ni mtazamo tu!
 
ana jeuri hiyo ya kuweka sura yake halisi. Akitumia sura yake halisi basi server ya JF itashindwa kufanya kazi siku hiyo.
hii yenyewe ya kwako hata kupost humu leo shida kweli server inashake balaaa kirusi kitupu toa bwana
 
Leo siku imeanza vizuri kwa upande wangu manake mda wote najichekea kwa raha zangu...lol. Haya endeleeni kutuongezea siku zetu za kuishi..
 
Naona hapa kamgogoro kameanza taratibu na soon inawezekana kabisa kitanuka,hivi wanawake mna matatizo gani mpaka inakuwa ngumu kupendana hata kusifiana?
Nimefurahi kuona mtu kathubutu kuweka picha yake halisi kitu ambacho ni cha kusifiwa,hongera kwa kuwa mwanaJF halisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…