Joseverest,unachelewa sana mkuu.ona sasa ni wa 10.haya aisee mkuu
Haina shida mkuu usijaliJoseverest,unachelewa sana mkuu.ona sasa ni wa 10.
Chao ni chao. Chako ni chenu!Una bahati mkuu maana wanawake wengi mshahara wao ni wao ya wanaume ndio ya kushare na matumizi.
Inaitwa VUA NI VUA ili wote tuwe wazi. Ukificha chako mi ndo kabisa utakisikia jf tu.
hakika boss!Ukiwa na bahati hiyo usidhani kila mmoja anayo. Wanawake wengine atataka kila lake lifanyike kwakuwa ana uhakika mzigo umeingia. Vipo vya kufanya (kushare) lakini si hilo hapana
Sasa jee ujue cha mwenzio chako ufiche?hahahhhaha uwiii nilikumiss we mdada kha !comment yako moja tu its a bomb
Sasa jee ujue cha mwenzio chako ufiche?
Makampuni yenyewe yanashare faida na hasara kwa wakubwa na wadogo kihisa sembuse familia ya watu wawili na ukipata asiyeweza ni bora kuvunja mkataba.Heee heee wewe hujakuwa you act like a kid. Jukumu lako ni kitunza familia Na Hilo sio shared responsibility kujua mshara wa mke ni kujipugizia uwezo wa kucontrol familia .tunza familia don't share your income with your eife