Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

Dah! kweli mitandao noma unaweza ukakuta mkeo ana weka kwenye page yake,haya sasa gemu ndio linaanza,naanza kuchezewa naniliyu sasa.
Nalog off
 
Mwanamke anaejitambua vzr hawezi kuja kueleza mambo yake kwenye mitandao...hawezi kuja kujiexpose hapa atongozwe kisa jamaa yake anajiamini and viceversa is true...huko sio kujiamini na kama huyo shemeji yako anaachia hayo mambo basi hamna kitu hapo...
 
Kunya kuku eehh,bata anaharisha...
We unaona heriii unavojivinjari mitandaoni ,yeye hutaki afanye hivo,Kaoe ushirombo huko ndo hawajui mambo ya 'net,wa mjini yaache mjini..tuna-sosho-lize,hatutafuti ndoa humu
ila sio siri wanaume wengine hamjui mnataka nin kwa kweli..
 

nafikiri unaelewa umeme wa tanesco hauko reliable,ma-generator muhimuuu..
 
Ukifuata hivyo hutaoa ndugu huu ni ulimwengu mwingne kabisaaaa mbona kasheshe sasa hii
 
nafikiri unaelewa umeme wa tanesco hauko reliable,ma-generator muhimuuu..
Mmmm ha ha ha badiebey bana...sio lazima magenereta ukijipanga...ukipata mtu mkapendana sawa sawa, mkaelewana, ukamkubali akakukubali, ukaamua kabisa huyu ndo basi , mkaheshimiana sawa sawa na malengo yenu yenye kufanana na obvious mkiwa hivyo hata s..x itakua tamu...kutakua kuna haja ya majenereta kweli..
 
Inaelekea una penda kupm kuinbox na kudm wadada wewe si bure na unaogopa demu wako anaweza kukutega na kukukamata
 
Yeah inategemea na mtu ambae upo nae anaupeo gani pia watu wanatofautiana and anything wich is toomuch humful
 
Si wote anaweza akawa ana social network akawa muaminif pia s wote 🙄😡😡
 
Jiamini wewe!!
Utamzuia asiende hata sokoni basi ukiogopa wauza nyanya watakumegea.
 
Kwa kipindi hiki hz mambo haziepukiki vile tu umpate ambaye hayuko interested nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…