Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Mpwa vipi ukiwa unapanda mlima ukifika kileleni mdomo na wewe huwa unakuwa wazi Lol!!!

Hahahaha mpwa mm mpaka masikio huwa yanaziba huyu mm sijamwelewa anamaanisha mdomo upi? ule wa kumesa mwenzie?
 
Msalimie Baba yako eeeeeegh!!!!!!!! mwambie Big Mama.....Mama Kubwa anamsalimia mwambie asiache kunitafuta

...emuynemuynik akidnaani ugnay draobyek iiH

Hii keyboard yangu inaandika kinyumenyume....
 
% kubwa hata huko kileleni hawajawahi fika............wanaskia tu kuwa kuna kilele katika ule mlima but mbio zote huishia katikati ya safari
 
:focus: ivi huo mlima anaweza kuupanda huku amelala chali?
 
talking of kichwa cha samaki and jicho la samaki, i was wondering if naweza kutumia jicho la samaki kushuka mlima!
 
Wanadada jamvini naombeni msaada wenu ni njia gani nitumie ili niweze fika kileleni haraka. Maana mwenzangu anajitahidi sana kwa maandalizi kuanzia romance hadi mechi,lakini kuna wakat cfiki kabisa.

Plz wanawake wenzangu nipeni darasa.
 
Nadhani wanaume wangekusaidia zaidi!
 
Back
Top Bottom