katika topic nying ambazo nimekuwa nikisoma nikukuta wanawake wengi wakilalamika kuwa hawafikishwi kileleni nawapenzi wao wengne wamekuwa hata hawajui kufika kileleni kuko vipi..je unadhani wanaume tunahitaji darasa huru la kuwahandle hawa gf zetu?
...uisukumie wapi........Wasio fika kileleni wana matatizo, K ilio jituliza ukiweka kitu ndani unapata matokeo yake pale pale haichukui mda, ni sawa sawa na new car na old car, ile mpya ukiweka tu ufungua ndani haichelewi kuwaka, ya zamani utasumbuka sana haswa kama maderever walisha iendesha sana na mara nyingi sana kuwaka kwake mpaa uisukume sana :biggrin1:
wadau hebu nisaidieni wadau.ujue mimi najiuliza nashindwa kuelewa kwamba mwanaume anaweza je kujua kama mwanamke kafika kileleni kwa sababu wanaume wao iko clear ila sasa kwa hawa wenzetu mimi siwaelewi!
anakunywa maji mengi
miguu itakuwa inamuuma
atakuwa anahema kwa haraka
atakuwa amechoka
ataangalia bondeni huku haamini kama amefika mlimani