RaiaMbishi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 252
- 134
Pengine haujaelewa nilikuwa na maana gani, na hili ni moja ya matatizo yanayotuangusha wengi wetu. Mimi mwenyewe sikujua kwamba wanawake wana aina nyingi za kufika kileleni. Maana yangu hapa ni kwamba maji ya Dawasco yanatoka kwenye bomba la jikoni, bomba la nje, na pia kwenye koki iliyopo kwenye simtank. Mwenzangu maji ya dawasco yanatiririka kutoka jikoni tu?Vielezee vyote ili tukueleze tunachochangia,usije ukafikiri kumnunulia dem wako mahitaji yote,ndio kumfikisha kileleni?
Kawaida mwanaume aliye na upendo na mke wake akikutana kimwili na mkewe lazima afike kilele kwa kutoa mbegu na hapo moyo wake na roho yake hufikishwa raha anayoitaka.
hivi hatuwezi kodi magreda ya kuja kusambaza milima yote tubaki na nchi tambarare tu?
Haya mambo ya vilele, vijilele, mizizi ya vilele imekuwa tatizo.
Bora kutokuwa na milima kabisa tuone mashindano yatakuwaje bila vilele.
maji ya Dawasco yanatoka kwenye bomba la jikoni, bomba la nje, na pia kwenye koki iliyopo kwenye simtank. Mwenzangu maji ya dawasco yanatiririka kutoka jikoni tu?
kwenye nyumba nyingine hata bomba la chooni yanatoka pia teh teh teh...
Aina zote mbili kawaida kwa wanaopendana zinatakiwa kufika wakati mmoja.
hahahah umeniacha hoi,inaelekea dar malalamishi kidogo kwa sababu milima ni michache.wale wa morogoro watakuwa na malalamishi mengi....lol
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.
akakunwe na nani wakati wanaume mnaowazungumzia ndio hao hao? Kama mwanamke hauna manjonjo kamwe hautofika kileleni hata uende kwa cholo
kama huna post sema tutakusaidia
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.
Na hii tumekuwa nayo humu last week. Everything ni copy an' pest!
Source:😀innalicious