Mwanamke na kufika kileleni

Kwa wenye tatizo hilo wafanye week'nd, hususan Ijumaa na Jumamosi.
 
Buji, ukitaka kuoa nijulishe nikutolee mahari.
Naona ndio unatoka jandoni kijana
 
Itakuwa weekend alikuwa anajifunza haya. Inaonekana huyu bado mdogo mdogo
 
Si unajua sisi tunataka kukamua zote hadi utoke upepo ndio unateremka kiunoni

Heeee, iz it possible mtu u ejaculate upepo?
Kweli my blue monday now is white.
Long live Bujibuji
 
hii mambo ya kufika kileleni kwa wanawake ni kesi kubwa sana, ila tatizo ni kuwa na varieties za wanaume ndio inawapa shida wanawake. Hivi tujiulize zamani enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanafika kileleni au la? Je kama walikuwa hawafiki walikuwa wanachukua hatua wanazochukua wanawake wa leo?
 

Walikuwa hata hawajui mastyle ya cku hz,wao walikuwa wanatulia tu na kusubr mwanaume afanye atakacho,vibint vya cku hz,katoto kanakuambia mara lala hv fanya hv,yaan uzungu huu,hadi samtym unajishtukia..
 
Mh mbona mie huwa sisinzii?? yaani ufanye usiku halafu uamke umechoka! imekuwa vita hiyo au?
 
Kwani nchi za wenzetu zilizoendelea wanawake hawafiki kileleni, watu waache tu uvivu, although umenichekesha sana, na hiyo RUFIJI hapo
 
BJBJ am watching u. Ukianzisha mada 'serious' badala ya hivi vituko, nitakutaarifu. Nways, u ar good at what u do.
 


Nikiwa Bored kwa kweli huwa nakimbilia JF maana huku ni lazima ucheke watu wanavituko hadi basi,
Bujibuji Asante leo i was totally confused, hiyo yenye red imesawazisha siku yangu yote!!
 
Walikuwa hata hawajui mastyle ya cku hz,wao walikuwa wanatulia tu na kusubr mwanaume afanye atakacho,vibint vya cku hz,katoto kanakuambia mara lala hv fanya hv,yaan uzungu huu,hadi samtym unajishtukia..

Ipo siku moja jamaa alipata Kabinti kalijipinda yaani akawa kama fundi anayerekebisha chaga za kitanda, alipomuuliza we vipi hunafanya nini huko kabintinti kakajibu kwa pozi la kimahaba eti sweet ni style hiyo inaitwa Mtaka cha uvunguni!!

Aisee Dunia hii acha tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…