BUJBUJ leo umeamkia wapi?
What are your suggestions?
Si unajua sisi tunataka kukamua zote hadi utoke upepo ndio unateremka kiunoni
Buji, ukitaka kuoa nijulishe nikutolee mahari.
Naona ndio unatoka jandoni kijana
hii mambo ya kufika kileleni kwa wanawake ni kesi kubwa sana, ila tatizo ni kuwa na varieties za wanaume ndio inawapa shida wanawake. Hivi tujiulize zamani enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanafika kileleni au la? Je kama walikuwa hawafiki walikuwa wanachukua hatua wanazochukua wanawake wa leo?
Tatizo letu wabongo tunapenda sana ujiko, utakuta kijiweni mtu anajisifia, mie huwa napiga mabao 12.
Jamani vitu vingine si ujiko wala ujanja.
sasa huyo akipiga tu kimoja anavuta shuka hadi kesho saa 6.
Wanaume wanaweza kufika kileleni ndani ya dakika tatu za mwanzo.
Lakini ili wanawake wafike kileleni ni lazima muda mrefu sana utumike kwenye maandalizi na shughuli nzima kwa ujumla.
Baada ya tendo la muda mrefu wa manjonjo na madoido ndio bibie anaanza kusema am kaming, am kaming (siku yangu kwanza niliuliza, where are you coming from, RUFIJI?'.
Akisha kam, kinachofuata hapo ni usingizi mkali, kesho mnaamka na uchovu.
Uchovu jumlisha foleni ukifika ofisini ni kusinzia tu.
Baada ya hapo hamna kazi umefanya, na kwa namna moja unakuwa umerudisha nyuma gurudumu letu la maendeleo
Walikuwa hata hawajui mastyle ya cku hz,wao walikuwa wanatulia tu na kusubr mwanaume afanye atakacho,vibint vya cku hz,katoto kanakuambia mara lala hv fanya hv,yaan uzungu huu,hadi samtym unajishtukia..