Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Habari za asubuhi wanajamii....katika pitapita zangu jana nilikutana na kioja kilichompata jamaa yangu hadi mimi nikabaki natoa macho.. Alikwenda na Girlfriend wake mahali kupata ile kitu inapenda. na kwa vile jamaa anajali alinunua ryder mbili akijua kabisa atapiga mzigo wa nguvu.
Sasa jamaa akatumia moja na moja ikabaki,,,, ile kuona imebaki yule demu wake akaamua kuichukua na kuiweka kwenye poch yake akasepa nayo. jamaa akawa akatoa macho na tulipokutananae akaniuliza..Je hiyo inamaanisha nini?
Ni demu wake wa siku nyingi na hiyo ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo. jamani mi mwenzenu nilibaki mdomo wazi sijui la kumjibu