Mwanamke na Kondom ya Kiume

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Habari za asubuhi wanajamii....katika pitapita zangu jana nilikutana na kioja kilichompata jamaa yangu hadi mimi nikabaki natoa macho.. Alikwenda na Girlfriend wake mahali kupata ile kitu inapenda. na kwa vile jamaa anajali alinunua ryder mbili akijua kabisa atapiga mzigo wa nguvu.

Sasa jamaa akatumia moja na moja ikabaki,,,, ile kuona imebaki yule demu wake akaamua kuichukua na kuiweka kwenye poch yake akasepa nayo. jamaa akawa akatoa macho na tulipokutananae akaniuliza..Je hiyo inamaanisha nini?

Ni demu wake wa siku nyingi na hiyo ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo. jamani mi mwenzenu nilibaki mdomo wazi sijui la kumjibu
 
Si anajua atakutana na jamaa siku nyingine ndo maana akamwekea zana kabisa asitafute wala kuhangaika kuitumia
Ila wasi wasi ni siku jamaa akikutana nae akakuta condom yenyewe imetumiwa hapo lazima awe na wasi wasi kuwa dem anamegwa na jamaa mwingine
 
@Rock ni ngumu kujua kama alichukua kumtunzia ama anamegwa na wengine. kwa nini atembee nayo yeye kwenye poch yake? kwani jamaa alinambia mara nyingi hata akikutana nae hata zikibaki huwa anaziacha hachukui lakini siku hiyo alishangaa imekuwaje?
 
Mkuu inawezekana dem kapenda taste yake na kaona hiyo kitu imemvutia kuwa nayo ili akija kusex na jamaa another day isiwe tabu kununua mpya
 
Kamwifadhia tu watatumia siku ingine, mbona mie nahifadhigi tu na wala hana neno next time watatumia, sidhani kama alikuwa na nia ya kwenda kutumia na mwingine, as you said ni wapenzi wa longi
 
He should be happy with that,
maana anamuhakikishia kujali zaidi
no matter what!
 
Mm nionavyo labda ungemuuliza vzr huyo jamaa kama hapo awali alikuwa wakikutana wanatumia ryder? na kama huwa zikibaki nani anachukua? Kama huwa Grlfnd wake hazichukua, huenda leo ameona azichukue maana jamaa huwa anazitumia na wengine ndio maana wakikutana siku nyingine jamaa ananunua mpya zile za awali huwa hazipo.
 
hiyo ni bana matumizi hataki mupenzi awe anapoteza pesa kila mara kununua vifanyio kaamua kumwekea ili wakutanapo tena atowe pesa ya mambo mengine bajeti ya vifanyo inapungua
 
Back
Top Bottom