Jay Wa Msimamo
Member
- Mar 11, 2013
- 73
- 12
Mwanamke bana.
Mada tulivu sana hii. Kwa haya Inakuwa hivii
Wanaume tunaweza kuwa wakatili sana au tukawa Wakarimu sana. Tunaweza kuwa wapole au wakali.
Kifupi huwa hatuchanganyi sana tabia zetu. Mara nyingi tunaweza kuwa moja ya mafungu hapo juu!
Mwanamke anaweza kuwa mpole sana lakini ndani yake akawa na roho ya ukatili, na huwezi kuiona
kirahisi. Anaweza akahifadhi chuki na usiione kwa miaka kadhaa. Na hapo ndipo sisi sasa tunaitwa Wanaume.
Jina hili lina maana kubwa sana: Kiongozi na Mtawala, na sifa za kiongozi ni kuonyesha njia. Na Mtawala
kuhakikisha kile kilichoamuliwa au kinachotakiwa kufanyika kinasimamiwa ipasavyo.
Yasemwayo hapa kweli kabisa mimi nimeolewa mwaka wa kumi sasa lakini mume wangu sio mtanzania, ninamama mkwe tu nashukuru mungu sina mawifi namashemji watatu. Kiukweli ilikuwa inaniuma sana kila tukienda kumtembelea mama mkwe twafikia ukweni, mume wangu kabla ya kunioa alikuwa jointed account zake zote na mama yake, miaka mitatu baada ya ndoa ndio akamtoa mama yake akaniweka mimi, lakini kila tukienda ukweli mimi napenda sana kufanya shopping huwezi amini mama mkwe alikuwa kila tukirudi anahesabu na kuchungulia mifukoni kunanini na nimenunua kiasi gani, kiukweli ilikuwa inanikosesha raha kila mara anasema ninatumia sana hela kwa shopping na mengi kama hayo.
Kila siku nilikuwa namlalamikia mume wangu tabia ya mama yake, lakini nashukuru mungu siku moja aliniambia mama wakwe wote dunia hii wako hivyo hivyo kama mama yake, mama wakwe wote wanatabia moja ya kuhisi mapenzi ya watoto wao yatahama kwa mkewe, hivyo basi sikumoja na mimi nitakuwa mama mkwe nitakuwa hivyo hivyo kama mama yake. Akanifundisha jinsi ya kudeal na mama yake. Akasema kama unaona anakukera sana tukirudi acha shopping zako zote kwenye buti ya gari alafu akitoka kwenda kokote nje ya nyumba viingize ndani akituuliza wala tusiseme kuwa tulifanya shopping au la, toka siku hiyo naamani ya yesu mpaka leo.
Ndoa isiyo doa ni kama kiumbe asiye na pua
Asalam aleykum habari za siku?